RC Makonda Una Bifu Na Waziri Mkuu?

RC Makonda Una Bifu Na Waziri Mkuu?

Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.
Makonda ni kilaza kama aliyemchagua tu!! mipaka hajui kama yule aliyeuhusudu U-IGP crazy
 
Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amaa nenee?
 
Una chuki sana na chadema,itakua kuna kamanda amekupigia pumbu mkeo.unawawaza sana
Mkuu huyo Dada ndio kapigwa Pumbu na kamanda mmoja wa CHADEMA na kutelekezwa
 
Mapinzan meng ni maadui wa maendeleo, yanaona wivu serikali inapofanya vizur, mapinzan mengi yanachukia pale itv inapoonyesha taarifa ya progress ya vita ya madawa.
 
Imeandikwa kwenye vitabu vitakatifu dula la mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
Kama vitabu vitakatifu ni pamoja Biblia Takatifu hiyo nukuu yako ni ya uongo uliopindukia hasa ukizingatia muktadha wa upendo wa Mungu kwa wenye dhambi. Labda uthibitishe kwa kutuwekea rejea ili nasi tujiridhishe. Tuambie ni kitabu kipi cha biblia, sura ipi na mstari upi?
 
Daudi bashite anahangaika kufunika nyota ya sepetu bila mafanikio, nacheka kwa dharau
 
Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.

Sijawahi kuona mtu anaepigana vita aliemwoga kama huyu Mkuu wa mkoa! Yaan vita umeamua kuipiga kwa nguvu zako zote huku una wasiwasi kibao! Mwenyewe alishasema yeye ni mungu, sasa mungu mwoga hivyo ataweza kushinda vita kweli!? leo amechuchuma mbele ya masheik akiombewa dua huku anatetemeka. Brother kama unajiamini usitetemeke, kutetemeka ni kuwaonyesha maadau zako udhaifu mkbwa mno! Tatizo la huyu bwana ni kuwa ana malengo ila hana mkakati rasmi na madhubuti wa kufanikisha malengo yake! Hii vita ilikua ni vita ya kumpa credit kama angeifanya bila sifa na kusimama kwenye media eti anataja majina kama mwalim anaita majina wanafunzi wake.

Hii vita kama ingekuwa underground ungekuta alishaishinda siku nyingi, na angepata ushahidi wa kutosha. Wauzaji wenyewe wanauza kwa siri, wewe unaenda kuwatafuta kwenye media, tena mnawaita majina hadi wengine wamewekewa eti "a.k.a"!!! Kama comedy vile, sidhani kama alikua serious huyu mtu.
 
Halafu wamemuweka chini katikati na kumuombea dua, kuna nini na mashehe wa dar?, mamlaka husika jaribu kumueleza ache kuongea mambo ya uchunguzi kwenye vyombo vya habari
Mkuu badilisha hapo sio "masheikh wa dar" iwe "wazee wa dar" maana kuwaita hivyo wachumia tumbo ni kudhihaki hiyo title
 
Unashangaa watu wa Dar, kunachama linaongozwa na mwenyekiti taifa ana DIV 0 .
 
Back
Top Bottom