RC Makonda, hawa Polisi siyo wapanda miti

RC Makonda, hawa Polisi siyo wapanda miti

View attachment 406355

Mh. mkuu wa mkoa Makonda..tafadhali waache Jeshi la Polisi wafanye kazi yao moja mhimu na kubwa ya kutulinda sisi na mali zetu.

Hili swala la mazingira nenda taasisi zinazohusika kuhamasisha, ndiyo tunakubari polisi ni sehemu ya jamii lakini kwa nin mnawabebesha kila mzigo! Hivi unajua kazi ya kulinda raia na mali zake inahitaji concentration! why mnawayumbisha hawa mapolisi kwa hali hii ujambazi utaisha kweli..

For sure utakuta polisi wote wameoewa taarifa ya mazingira hiyo trh 01 oct. so wamehamisha akili zao zote huko na kuwacha kuwaza kazi yao ya kulinda raia na mali zao..leo polisi analala anawaza mazigira badala ya kuwaza kupambana na kuzuia uhalifu nchini. kwa hali hii tusitegemee ujambazi kuisha nchini.

Mbona zipo taasisi na NGOs nyingi sana zinaweza kutumika kuhamasisha uoandaji wa mazingira lakini ninyi kila siku kiguru na njia kwa mapoli..

Poleni sana mapolisi kwa kutojitambua na nimesikia wanakuja kuwakagua vyeti ila JWTZ wamepangiwa taratibu nyingine ya ukaguzi..akili za kongota...
acha ajitutumue naskia anautafuta ubunge mwanza, tunsmsubiri kwa hamu!
 
Hiyo ndio kazi yao acha umbeya wako, sasa ulitaka wafanye nini wakulinde wewe mlalahoi una kitu gani cha kukulinda nacho?

Kalagha baho....
Acha ufala mama ujui mlala hoi anaibiwa navibaka na matajiri wanaibiwa namajambazi kila MTU afanye kazi yake nasema katiba katiba katiba iwezekani mtu analetwa miaka mitano ampangie kamanda wetu kazi alafu akiaribu yeye hayupo hizo nikazi zake nawananchi wenye muitikio sio mapolisi
 
Hizi kazi zinazokwenda kwa amri tatizo lake ndo hilo. Hakuna kuhoji ni kutii amri. Japo kila kazi ina mipaka yake
kwa nini amri hii kila siku ni polisi! kwani watawala hawaoni majeshi mengine?
 
Ulishalindwa lini ww na hao polisi kazi yao kubwa ni kamata kamata wacha wafanye usafi je angesema wawasimamie raia ili wafanye usafi ungepiga na penyewe unge lalamika
 
Back
Top Bottom