RC Makonda awataka wakazi wa Dar kuwa na bima ya afya

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mhe Paul Makonda leo alimtembelea ndugu yetu Ashraf Hamza ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili kutokana na Tatizo la Uvimbe katika eneo lake la uso lililokuwa akikabiliana nalo.

Katika mazungumzo yake Mhe Poul Makonda ameridhishwa na huduma iliyotolewa na Hospital hiyo Taifa kwani wamesaidia kuleta nafuu kwa Ashraf ambaye anaendelea vizuri kwa sasa.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa amewataka watanzania kuona umuhimu wakuwa na bima ya Afya kwani itawasaidia pindi wapatapo shida ya kiafya.

=======================

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wakazi wa mkoa huo kutambua kuwa bima ya afya ni moja ya vitu muhimu wanavyopaswa kuwa navyo.

Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 27, 2019 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alipokutana na Ashraf Patrick, aliyemsaidia kufanyiwa upasuaji wa uvimbe usoni katika hospitali hiyo.

Patrick, mkazi wa Bukoba mkoani Kagera video zake zilisambaa katika mitandao ya kijamii akiomba msaada wa matibabu ya uvimbe huo, Makonda alimleta MNH na kufanyiwa upasuaji.Makonda amesema Patrick angekuwa na bima ya afya asingelazimika kuomba msaada wa matibabu.

”Kuomba msaada au kulalamikia gharama za matibabu hakuwezi kuwepo kama una bima ya afya, huu ni msaada mkubwa sana,” amesema Makonda

Amesema Dar es Salaam umewekwa utaratibu mzuri na nafuu wa bima ya afya na kuwataka ambao hawana kuhakikisha wanakuwa na bima ili kupata uhakika wa matibabu.Naye daktari bingwa wa masikio, pua na koo, Edwin Liyombo amesema upasuaji aliofanyiwa Patrick ulikuwa mkubwa.

“Tulimchunguza tukagundua kuwa ni saratani, tukaona tumfanyie upasuaji na kuondoa uvimbe. Kinachofanyika sasa ni kuendelea na matibabu na atahamishiwa kwenye taasisi ya saratani ya Ocean Road,” amesema Liyombo.

chanzo:Mwananchi

FB_IMG_1566900320971.jpeg
FB_IMG_1566900316312.jpeg
FB_IMG_1566900309163.jpeg
FB_IMG_1566900305660.jpeg
 
Alienda na Waandishi wa habari ?, Unless otherwise huo ujio wao umesaidia kuchangisha na kumpa ahueni mgonjwa kwa namna moja au nyingin..., zaidi ya hapo ni kuchoshana.......... na haya mambo ya kufanyia kazi kwenye media ndio yamebadilisha hata misiba kuwa sehemu za kuuza sura...

Huu utamaduni tumeutoa wapi ?
 
1566901635755.png

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda​

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wakazi wa mkoa huo kutambua kuwa bima ya afya ni moja ya vitu muhimu wanavyopaswa kuwa navyo.

Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 27, 2019 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alipokutana na Ashraf Patrick, aliyemsaidia kufanyiwa upasuaji wa uvimbe usoni katika hospitali hiyo.

Patrick, mkazi wa Bukoba mkoani Kagera video zake zilisambaa katika mitandao ya kijamii akiomba msaada wa matibabu ya uvimbe huo, Makonda alimleta MNH na kufanyiwa upasuaji.Makonda amesema Patrick angekuwa na bima ya afya asingelazimika kuomba msaada wa matibabu.

”Kuomba msaada au kulalamikia gharama za matibabu hakuwezi kuwepo kama una bima ya afya, huu ni msaada mkubwa sana,” amesema Makonda

Amesema Dar es Salaam umewekwa utaratibu mzuri na nafuu wa bima ya afya na kuwataka ambao hawana kuhakikisha wanakuwa na bima ili kupata uhakika wa matibabu.Naye daktari bingwa wa masikio, pua na koo, Edwin Liyombo amesema upasuaji aliofanyiwa Patrick ulikuwa mkubwa.

“Tulimchunguza tukagundua kuwa ni saratani, tukaona tumfanyie upasuaji na kuondoa uvimbe. Kinachofanyika sasa ni kuendelea na matibabu na atahamishiwa kwenye taasisi ya saratani ya Ocean Road,” amesema Liyombo.

chanzo:Mwananchi
 
Nauliza ile DATA ya wake za watu kamaliza? au bado anatikisa minyama tuu ............. Huyo anatakiwa itwe Makonda wo wo wo
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mhe Paul Makonda leo alimtembelea ndugu yetu Ashraf Hamza ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili kutokana na Tatizo la Uvimbe katika eneo lake la uso lililokuwa akikabiliana nalo.

Katika mazungumzo yake Mhe Poul Makonda ameridhishwa na huduma iliyotolewa na Hospital hiyo Taifa kwani wamesaidia kuleta nafuu kwa Ashraf ambaye anaendelea vizuri kwa sasa.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa amewataka watanzania kuona umuhimu wakuwa na bima ya Afya kwani itawasaidia pindi wapatapo shida ya kiafya.

=======================

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wakazi wa mkoa huo kutambua kuwa bima ya afya ni moja ya vitu muhimu wanavyopaswa kuwa navyo.

Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 27, 2019 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alipokutana na Ashraf Patrick, aliyemsaidia kufanyiwa upasuaji wa uvimbe usoni katika hospitali hiyo.

Patrick, mkazi wa Bukoba mkoani Kagera video zake zilisambaa katika mitandao ya kijamii akiomba msaada wa matibabu ya uvimbe huo, Makonda alimleta MNH na kufanyiwa upasuaji.Makonda amesema Patrick angekuwa na bima ya afya asingelazimika kuomba msaada wa matibabu.

”Kuomba msaada au kulalamikia gharama za matibabu hakuwezi kuwepo kama una bima ya afya, huu ni msaada mkubwa sana,” amesema Makonda

Amesema Dar es Salaam umewekwa utaratibu mzuri na nafuu wa bima ya afya na kuwataka ambao hawana kuhakikisha wanakuwa na bima ili kupata uhakika wa matibabu.Naye daktari bingwa wa masikio, pua na koo, Edwin Liyombo amesema upasuaji aliofanyiwa Patrick ulikuwa mkubwa.

“Tulimchunguza tukagundua kuwa ni saratani, tukaona tumfanyie upasuaji na kuondoa uvimbe. Kinachofanyika sasa ni kuendelea na matibabu na atahamishiwa kwenye taasisi ya saratani ya Ocean Road,” amesema Liyombo.

chanzo:Mwananchi

View attachment 1191168View attachment 1191169View attachment 1191170View attachment 1191171

Huyu si anaitwa Gavana....au?
 
Bima za afya tunazihitaji tatizo ni kifurushi cha kujiunga, inatakiwa kuwe na kifurushi cha mtu mmoja mmoja, wengine hawana familia ya kujaza bima yote.

Kulikuwa na vifurushi vya vikundi, vilisaidia sana watu kupata bima binafsi, sasa hivi wamefuta hivyo vikundi, hakuna tena bima za vikundi.
 
Moderator mjifunze, sio kila siku mnaacha mtu anatukanwa na kudhihakiwa sababu ni mtu wenu mkidhani upande wa pili hawawezi kudhalilisha pia, mngefuta ule udhalilishaji wa awali kwa RC sidhani kama leo hali ingechafuka, hongereni kwa hatua mlizochukua angalau yatia moyo.
 
Nani ametukanwa na kudhihakiwa kisha mods wakaacha?
 
Kuna picha inaonekana haiendani na uzi nimefungua niiangalie siioni
 
Back
Top Bottom