RC Makonda atimiza ahadi ya matibabu ya Pascal Cassian

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametimiza ahadi ya kusaidia gharama za matibabu ya mshindi wa BSS 2009 Pascal Cassian kwa kumkabidhi Tiketi ya Ndege,Pesa ya Nauli, Chakula,Hotel na Pesa ya kujikimu kwa watu wote watatu watakaomsindikiza akiwemo Mke wake na Mkuu wa kitengo cha Urolojia Hospital ya Taifa Muhimbili.

RC Makonda amesema uamuzi wa kumpeleka Nchini India ni baada ya Jopo la madaktari bingwa wa Muhimbili kuridhia na kumtafutia Hospital ya kimataifa nchini India yenye uwezo wa kutibu tatizo hilo.

Aidha RC Makonda amewashukuru watanzania wote waliochangia na kufanikisha safari hiyo na kuwaomba wazidi kuwa na moyo huohuo wa kusaidiana kwenye matatizo.

Kwa upande wake Pascal Cassian amemshukuru RC Makonda kwa kuona maumivu aliyokuwa akiyapata na kuamua kumsaidia ambapo ameeleza kuwa anaamini atarejea nchini akiwa amepona kwa uweza wa Mungu.

Itakumbukwa RC Makonda aliamua kumsaidi Pascal kwa kumtoa Nyumbani na hospital baada ya kuona kupitia mitandao ya kijamii maumivu aliyokuwa akiyapata baada ya kupata ajali iliyopelekea tatizo kubwa la kwenye mfumo wa figo.

#Upendo #Utayari #Uwajibikaji #Ushirikishaji
IMG-20190319-WA0055.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muombeeni akapone sio kujichukulia ujiko kwenye afya za watu

Makonda anafanya biashara gani ya kupeleka India kila siku watu?Think twice
 
Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametimiza ahadi ya kusaidia gharama za matibabu ya mshindi wa BSS 2009 Pascal Cassian kwa kumkabidhi Tiketi ya Ndege,Pesa ya Nauli, Chakula,Hotel na Pesa ya kujikimu kwa watu wote watatu watakaomsindikiza akiwemo Mke wake na Mkuu wa kitengo cha Urolojia Hospital ya Taifa Muhimbili.

RC Makonda amesema uamuzi wa kumpeleka Nchini India ni baada ya Jopo la madaktari bingwa wa Muhimbili kuridhia na kumtafutia Hospital ya kimataifa nchini India yenye uwezo wa kutibu tatizo hilo.

Aidha RC Makonda amewashukuru watanzania wote waliochangia na kufanikisha safari hiyo na kuwaomba wazidi kuwa na moyo huohuo wa kusaidiana kwenye matatizo.

Kwa upande wake Pascal Cassian amemshukuru RC Makonda kwa kuona maumivu aliyokuwa akiyapata na kuamua kumsaidia ambapo ameeleza kuwa anaamini atarejea nchini akiwa amepona kwa uweza wa Mungu.

Itakumbukwa RC Makonda aliamua kumsaidi Pascal kwa kumtoa Nyumbani na hospital baada ya kuona kupitia mitandao ya kijamii maumivu aliyokuwa akiyapata baada ya kupata ajali iliyopelekea tatizo kubwa la kwenye mfumo wa figo.

#Upendo #Utayari #Uwajibikaji #Ushirikishaji View attachment 1049163

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kitu nachukia Ni hili swala ambalo hadi viongozi wa kitaifa wanasherehekea kupeleka watu India hivi kwann kusiweke utaratibu wa kupeleka madaktari wetu masomoni ulaya Na kuwawezesha kwa kuwanunulia vifaa ili waweze kufanya hizi huduma apa nyumbani

Kiukweli unaumiza sana kuona viongozi wanasherehekea huu ujinga inakerea mno Jana nimeudhuria msiba katibu mkuu alikuwepo wa chama tawala kuna mtu alisema katibu mkuu alishauri waanzishe chama kwa ajili ya wanasheria kusaidiana ili mtu akiumwa aweze pelekwe India nilishikwa Na hasira kali mnoo kwa kwel kwanini Hawa viongozi wetu wasitusaidie kwa kuboresha huduma apa nyumbani Na kuachana Na hii kadhia ya kupelekana India

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimbili na Mloganzila zilizosheheni madawa, majengò, vifaa tiba na wataalam bìngwa imeshindikanaje?
 
Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametimiza ahadi ya kusaidia gharama za matibabu ya mshindi wa BSS 2009 Pascal Cassian kwa kumkabidhi Tiketi ya Ndege,Pesa ya Nauli, Chakula,Hotel na Pesa ya kujikimu kwa watu wote watatu watakaomsindikiza akiwemo Mke wake na Mkuu wa kitengo cha Urolojia Hospital ya Taifa Muhimbili.

RC Makonda amesema uamuzi wa kumpeleka Nchini India ni baada ya Jopo la madaktari bingwa wa Muhimbili kuridhia na kumtafutia Hospital ya kimataifa nchini India yenye uwezo wa kutibu tatizo hilo.

Aidha RC Makonda amewashukuru watanzania wote waliochangia na kufanikisha safari hiyo na kuwaomba wazidi kuwa na moyo huohuo wa kusaidiana kwenye matatizo.

Kwa upande wake Pascal Cassian amemshukuru RC Makonda kwa kuona maumivu aliyokuwa akiyapata na kuamua kumsaidia ambapo ameeleza kuwa anaamini atarejea nchini akiwa amepona kwa uweza wa Mungu.

Itakumbukwa RC Makonda aliamua kumsaidi Pascal kwa kumtoa Nyumbani na hospital baada ya kuona kupitia mitandao ya kijamii maumivu aliyokuwa akiyapata baada ya kupata ajali iliyopelekea tatizo kubwa la kwenye mfumo wa figo.

#Upendo #Utayari #Uwajibikaji #Ushirikishaji View attachment 1049163

Sent using Jamii Forums mobile app
Paul Makonda ni kiongozi mzuri sana, mwenye utu sana, anayesaidia sana jamii kwa kutoa misaada ya hali na mali kwa wahitaji.

Mabeberu ni watu wabaya sana, hawawapendi watu wa aina hii ya Makonda wanao jituma, kuchaoa kazi na kusaidia jamii, hivyo wamemuumbia zengwe kwa kumnyima viza ya kuingia Marekani.

Watanzania wazalendo tusikubali ubeberu huu wa Marekani, kwanza tuwasusie, hatutaki viza zao, kwani kwenda Marekani ndio nini?, tutakwenda kwingine kote tena kuna mahali ni kuzuri kuliko Marekani.
P
 
Ikiwa hawapendi hiyo misaada mnayopewa na kupokea inamaani gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
American does not have clean hands to point us. Tanzania ndio nchi pekee Afrika inayo heshimu na kulinda haki za binaadaam isipo kuwa Ushoga hatuto ukubali kabisaaa,
Marekani isiichokonoe Tanzania kwa maslahi yake binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom