RC Makonda atangaza neema kwa wamiliki wa viwanda vidogo, maonyesho ya bidhaa za ndani sasa kufanyika kila mwezi

Mkumbushie asisahau na kupeleka vyeti kesho mamlaka ya utumishi mkuu usikumbuke kumwaga sifa za marehem tu ukasahau hilo ambalo ni muhimu kweli
 
Huyu Bashite akome kuchezea NSSF zetu mie nimefanya kazi mgodini miaka kumi naumia chini ya ardhi nimetoka nimeathirika mgongo na mapafu halafu nazungushwa malipo yangu zaidi ya mil 70 wanaenda kupewa watu ambao hawajahi kuchangia hata siku moja eti wafungue viwanda siwatupe hela zetu siye wanachama tukafungue kwanza.
Kama vipi wakakope bank kwanza mifuko ya jamii hii si kazi yake kujenga viwanda.
 
Inategemea na umri wako kama wewe umejua wakuu wa mkoa baada Meck Sadic sasa utafananisha na nani.
 
makonda pamoja simpendi ila ni creative kuliko vijana wengi wa kitz ambao wanasubiri ajira. Muda mwingine naona magu akaze tu.
 
umri wangu wamepita kumi hapa,jipe jibu ntakuwa na umri gani
Basi ndiyo wale wanaoambiwa mtu mzima hovyo wewe.
Huwezi kushabikia matamko inabidi uone matokeo chanya yakitokea sasa kama unamkubali mtu kwa matamko unawaza kwa makalio
 
Basi ndiyo wale wanaoambiwa mtu mzima hovyo wewe.
Huwezi kushabikia matamko inabidi uone matokeo chanya yakitokea sasa kama unamkubali mtu kwa matamko unawaza kwa makalio
tueshimiane aisee, matokeo chanya kwake nayaona kuanzia mahosipitaĺini na kwingineko kama nyie hamuoni wengine wanaona na pia sio lazima nyie muone pia lakini pia aina ya msg yako inaweza onyesha pia najibizana na mtu wa aina gani.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hate or love him, you have got to admit this chap is creative.
Guandong China pamoja na uzalishaji mkubwa duniani wana maonyesho mara mbili tu kwa mwaka . Dar ina nini cha kuonyesha kila mwezi kama sabasaba tu kunakuwaga hakuna kitu cha Dar.

Yaani Creative ideas ndio hizo matamko na ndoto za mchana zisizo na uhalisia wa hali halisi ya wananchi
 

Maonesho ya bidhaa ni forum ambayo inatumiwa na wazalishaji wa bidhaa duniani kote kuonesha new products, new techonology, na ni mahali pa kukutana na kufanya mikataba mbali mbali ya biashara. Maonesho ya biashara siyo gulio la kuuza bidhaaa. Sijui kama ni vyema kuyaita maonesho ya biashara kama yatafanyiaka kila mwezi, kwa sababu, in any way there is no new products, new technology, and new business contracts every months. Kama ni nafasi ya kuuza kila mwezi sawa!
 
NSSF na michango ya wafanyakazi, yaani baadala ya Nssf kutafuta mbinu za kuboresha maisha ya wachangiaji hata kwa kuwapa mikopo nafuu na michango yao ikaendelea kuwa kama Bond...
 

mwambie atupe vyeti original kwanza atakama anakingiwa kifua na baba yake , tunataka vyeti original kwanza hatuwezi kuwa na mtu ambaye ameiba vyeti afu tukaendelea kumuamini, ukishakuwa sio mwaminifu hata kwa kitu kidogo uwezi kuwa mwaminifu kwa vitu vikubwa
 
 
Kwaiyo ndo mana hii mifuko ya jamii haitaki kulipa watu pesa zao kisa maujinga ya huyu mtoto wa mfalme
 
Ndio maana watu wa Dar tunakuwa kama tumechanganyikiwa maana kabla hujaanza hili kuna Tamko la Bashite jipya kila siku unarudi nyumbani Tandale kuna mke mwenzie Happy wa Kinondoni nae anatoa tamko

Ndiooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…