Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,056
Mkumbushie asisahau na kupeleka vyeti kesho mamlaka ya utumishi mkuu usikumbuke kumwaga sifa za marehem tu ukasahau hilo ambalo ni muhimu kweliNa kashfa,kejeli,dharau,majungu,uzushi,wengine wakamwombea kifo na wengine wakaacha kuhubiri neno la Mungu na kuanza kumjadili huyu mtu muhimu kwa nchi hii,hajawahi kugive up!!!! Stay blessed brother
Nayasema haya, yote kuonyesha kukubali uwezo mkubwa wa ndugu Makonda kiakili na jinsi anavyothihirisha uwezo wake kushughulikia changamoto za wanadar.
Watumishi wameweza kutengenezewa unafuu kumiliki nyumba zao kwa kuuziwa viwanja vilivyopimwa,tena very cheap!...watu kupatiwa vipimo vya afya zao bure,wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda vidogo kupewa mikopo kwa riba nafuu. Hakika hajawahi kutokea kama huyu mwanaume jembe mkoa wa Dar.!!
Again stay blessed my brother na wengine waige haya,na ikiwezekana mheshimiwa raisi akupatie wizara flan muhimu uisimamie maana una uwezo kaka