RC Makonda ataka Spika Ndugai aanze utaratibu wa kupima wabunge kugundua watumiaji wa madawa

RC Makonda amemkumbusha Spika wa Bunge kuhusu kuweka vyombo vya kuwapima nani anatumia au alikwisha kutumia madawa ya kulevya.

Naamini hilo mtalipinga kwa nguvu zenu zote na kumtaka RC Makonda ajieleze kwenu, ati kwa kuwadharau. Lakini tunawaamini kuwa mtakuwa kitu kimoja kukubali kupimwa ili kulinda heshima yenu na ya Bunge.

Ukweli huwa inatia shaka baadhi ya tabia zinazojitokeza kwa baadhi ya watendaji wetu ndani ya mjengo... Hakuna mtu aliye juu ya sheria. Naunga mkono hoja hii BIG UP RC
 
Mgogoro wa nn wao wawakilishi wetu na wanapinga madawa sasa wawe mfano juu ya hili
Kwa hoja hii unataka kila mtu apimwe hata hakuna sababu? Haya ni mawazo ya hovyo kabisa! Makonda ametuhumiwa issue ya marinda na ni nyeti kuliko hata dawa za kulevya, je ameenda kupimwa? Mbona majibu hatuna
 
RC Makonda amemkumbusha Spika wa Bunge kuhusu kuweka vyombo vya kuwapima nani anatumia au alikwisha kutumia madawa ya kulevya.

Naamini hilo mtalipinga kwa nguvu zenu zote na kumtaka RC Makonda ajieleze kwenu, ati kwa kuwadharau. Lakini tunawaamini kuwa mtakuwa kitu kimoja kukubali kupimwa ili kulinda heshima yenu na ya Bunge.

Hahaha wa bunge wapi mwenge?
 
Hii Makonda atakuwa amewadharau wote walio mle Bungeni. Kwani kama unataka kupima wabunge basi unamaanisha wote waliopo mule lazima wapimwe. Spika na naibu wake lazima wapimwe, Majaliwa kama Mbunge atapimwa, Ag na mawaziri wote lazima wapimwe kwani huwezi kubagua.
Hilo ni utovu wa nidhamu wa Makonda kwa mabosi wake yaani PM na mawaziri. Amewadharau labda kwa vile ana urafiki na mteuzi mwenyewe.
Huna unalosimamia wala kumbukumbu nenda rehab
 
Makonda ye anaagiza kama nani? Halafu unajua ni aibu sana mwanaume mwenye wadhfa wa mkuu wa mkoa kujitokeza mbele ya wanaume wenzako ukiwa umepaka poda aise, makonda badilika brother
 
Wazungu husema CHARITY BEGINS AT HOME. Kabla ya kumtaka Spika kuwapima wabunge wote kama wanajihusisha au walishawahi kutumia madawa ya kulevya Makonda mwenyewe angeonesha mfano kwanza kujipima yeye lakini pia kuwapima wafanyakazi wake wote walioko kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.

Vinginevyo kutaka wabunge tu ndio wapimwe huku yeye akiwaacha wafanyakazi walio katika ofisi yake THAT'S HYPOCRISY OF THE HIGHEST LEVEL.
 
Hii Makonda atakuwa amewadharau wote walio mle Bungeni. Kwani kama unataka kupima wabunge basi unamaanisha wote waliopo mule lazima wapimwe. Spika na naibu wake lazima wapimwe, Majaliwa kama Mbunge atapimwa, Ag na mawaziri wote lazima wapimwe kwani huwezi kubagua.
Hilo ni utovu wa nidhamu wa Makonda kwa mabosi wake yaani PM na mawaziri. Amewadharau labda kwa vile ana urafiki na mteuzi mwenyewe.
This is a point.
Pia sidhani kama kwa mkuu wa mkoa tu ni sawa kusema chochote juu ya bunge kwa ujumla wake.
Hii ni sawa na mtendaji wa kata kusema juu ya balaza la halmashauri.
Ni mawazo yangu tu
 
RC Makonda amemkumbusha Spika wa Bunge kuhusu kuweka vyombo vya kuwapima nani anatumia au alikwisha kutumia madawa ya kulevya.

Naamini hilo mtalipinga kwa nguvu zenu zote na kumtaka RC Makonda ajieleze kwenu, ati kwa kuwadharau. Lakini tunawaamini kuwa mtakuwa kitu kimoja kukubali kupimwa ili kulinda heshima yenu na ya Bunge.

Yeye na ofisi nzima ya Kamisheni waanze kupima kabla ya kwenda bungeni, ili watoe mfano kwa watanzania.
 
RC Makonda amemkumbusha Spika wa Bunge kuhusu kuweka vyombo vya kuwapima nani anatumia au alikwisha kutumia madawa ya kulevya.

Naamini hilo mtalipinga kwa nguvu zenu zote na kumtaka RC Makonda ajieleze kwenu, ati kwa kuwadharau. Lakini tunawaamini kuwa mtakuwa kitu kimoja kukubali kupimwa ili kulinda heshima yenu na ya Bunge.

Just ignore him. Anajaribu ku justify his actions. Nawaomba watanzania wenye mapenzi mema wafunge na kuomba sheria ichukue mkondo wake. Wale wenye hila mbaya kwenye kesi ya Mbowe dhidi ya Makonda na company washindwe na walegee. Our God is just. Tukifanya mchezo na huyu mtu anayejifananisha na Mungu, hili taifa litalaaniwa kizazi mpaka kizazi hadi kizazi cha tano. Hapo ni Kama miaka Mia moja.

Take what you want, says God, and pay for it.
 
Back
Top Bottom