RC Makonda ataka Spika Ndugai aanze utaratibu wa kupima wabunge kugundua watumiaji wa madawa

kutoka ukuu wa mkoa mpaka ukuu wa madawa ya kulevya mbona alikataa kutii amri za bunge sasa kwenda mbele ya kamati yeye kama nani kumkumbusha spika



atuondolee kero humu jijini kuna matatizo kibao ikiwemo matakataka jiji lake linanuka yeye annahangaika na bunge doh
 
Labda anamaanisha wabunge wanaotoka Dar. lakini wabunge ambao kikatiba huisimamia serikali akiwemo yeye!
Bunge ndilo nenye nafasi kubwa ya kuiagiza serikali kuchukua hatua kuhusu jambo lolote na hivi lina heshima kubwa kikatiba.
 
Bunge Na Wabunge Awamu Hii Mumedharaulika Sana, Na Chanzo Cha Dharau Hii Ni Sizonje. Onyesheni Uwepo Wenu Tafadhali. Fanyeni Maamuzi Magumu Ya Kupiga Kura Ya Kutokuwa Na Imani Na Sizonje.

Ili Bunge Livunjwe, Uchaguzi Mkuu Ufanyike Upya Tupate Sizonje Atakaye Wapa Heshima Na Kutambua Uwepo Wenu. Hivyo Dagaa Kama Hawa Akina Makondakta Hawata Wachezea.
 
Bunge Na Wabunge Awamu Hii Mumedharaulika Sana, Na Chanzo Cha Dharau Hii Ni Sizonje. Onyesheni Uwepo Wenu Tafadhali. Fanyeni Maamuzi Magumu Ya Kupiga Kura Ya Kutokuwa Na Imani Na Sizonje.

Ili Bunge Livunjwe, Uchaguzi Mkuu Ufanyike Upya Tupate Sizonje Atakaye Wapa Heshima Na Kutambua Uwepo Wenu. Hivyo Dagaa Kama Hawa Akina Makondakta Hawata Wachezea.
Well said mkuu, bravo
 
ina maana mawaziri na pm nao wapimwe kama wanatumia semebe? makonda wewe umekua makamu wa rais?
 
Hakika na wapimwe tuuu. Hatutaki wenye akili fyatu mle mjengoni, Naomba pia matokeo yawekwe peupeeeee. Wasifiche ka bunge lenyewe
Kama hilo linafanyika, basi lifanyike kwa mihimili yote, taasisi zote, idara zote nchi hii, maana hakuna mahali tunapotaka watendaji waliobwia "unga". Wahadhiri, madaktari, maaskari wa aina zote, walimu, wanafunzi, madereva, etc... wote hawa wanatakiwa wapimwe kama kweli tumeona move hiyo ina tija. Ku-target bunge pekee moja kwa moja naona kama ni matusi ambayo ni mwendelezo wa malumbano yanayoendelea baina ya Makonda na Bunge.
 
Baadhi ya Wabunge walipomtuhumu Makonda walikuasahii!! ila Makonda anapomkumbushia Spika kuhusu kauliyake yakuwekavifaa vya kuwapimaWabumge kama wanatumia madawayakulevya anakosea!!
Sasa napata picha kwanini Makonda sikuzote anafanikiwa kwenye kazizake. nikwakua sikuzote anasemaukweli. Mungu sikuzote anasimama upande wa haki. Uwezi leo umwitemtu fisadi alafu kesho usimame mbeleya umma wa Mwenyezi Mungu ukimsafisha kinafiki yule uliyemtuhumu.
Munguwahaki apendi mizaha, mwangalie Lema kaulizake zinavyomtesa, jamani Mungu hataniwi.
 
Mnasahaulishwa uaba wa chakula wabunge wote kama mazombi mmekimbilia dawa za kulevya huku vijijini tunaangamia unga kilo elfu 2500 debe la mahindi sh' 30000 mnajadili madawa acheni upuuz teteen wanyonge
Mmmmmmmmmmmmm umevunja amri ya nane ..
 
Back
Top Bottom