RC Makonda ataka Spika Ndugai aanze utaratibu wa kupima wabunge kugundua watumiaji wa madawa

Hapo Ndiyo Tena Makonda Anapokosea Sana Hasa Anaingia Mambo Ya Bunge Kuhusu Kumkumbusha Hiyo Siyo Kazi Yake Makonda

Spika Anaye Personal Assistant Wake Hayo Ndiyo Majukumu Yake Kuhusu Mambo Ya Bunge
Kitwanga aliondolewa kwenye nafasi yake ya uwaziri kwa sababu gani?
 
Who is makonda?, ana pawa gani ya kumkumbusha spika au kumkumbusha majukumu yake, huyu anatakiwa aelekezwe majukumu yake
 
Makonda napata shida sana kuamini ilikuwaje Agnes Masogange mtanzania aliyekamatwa na madawa ya zaidi ya Tshs 5 Bil asiwepo kwenye list zako??!!

Huyu binti alipita na Mzigo wa mabegi zaidi ya matano yenye madawa hapo JK Nyerere na akaenda kukamatiwa OT Airport Jburg.

Kumbuka Agnes yeye alikuwa punda na mwenye mzigo amewahi kufunguliwa kesi na Serikali/Mwakyembe na alitumia pesa nyingi kuhonga mpaka kesi ikazimwa.

Na baada ya kuzimwa Mwakyembe akasema hatokuja kushiriki tena vita ya madawa ya kulevya kama yule drug lord aliachiwa.

Kwanini Masogange hakukamatwa??
Ule mzigo aliokamatwa nao masogange huenda ulikuwa wa mtu mmoja mkubwa. Kweli imewekwa mfukoni, waache kudanganya umma.
 
Mkuu hiyo habari hata humu iliandikwa rejea uzi huu hapa chini Mhe Makonda kakumbusha maneno aliyotamka Mhe Ndugai

Spika asema baadhi ya Wabunge huvuta bangi na Unga, asema vifaa maalum kufungwa kuwabaini


6012e999855f64124a0a7d5542cd2546.jpg
Hongera kwa jeshi letu la polisi kumsaidia spika
 
Furaha kuona habari hizi za Kiongozi jembe, siku hizo nilikuwa bado sijawa fan wake mkubwa.
 


RC Makonda amemkumbusha Spika wa Bunge kuhusu kuweka vyombo vya kuwapima nani anatumia au alikwisha kutumia madawa ya kulevya.

Naamini hilo mtalipinga kwa nguvu zenu zote na kumtaka RC Makonda ajieleze kwenu, ati kwa kuwadharau. Lakini tunawaamini kuwa mtakuwa kitu kimoja kukubali kupimwa ili kulinda heshima yenu na ya Bunge.

Nani Aliyekuambia Bunge Lina Heshima? Huoni Baba Yako Sizonje Anavyonajisi Bunge Letu? Jaribu Kuwa Na Upeo Wa Kuheshimu. Kama Si Sisi, Heshimu Hata Simu Uliyoandikia Bandiko Hili.
 
Back
Top Bottom