RC Makonda arejesha furaha kwa Pascal Cassian

RC Makonda arejesha furaha kwa Pascal Cassian

Mbowe anajitapa ni tajiri lakini hutamuona akitoa msaada wala kuhudhuria harambee yoyote.
Sio lazima! Pesa ni za kwake anaamua ampe Nani, wakati gani, kwa kificho au kurusha kwenye mitandao ya kijamii....ni yeye tu ndio anaamua
 
Mbowe anajitapa ni tajiri lakini hutamuona akitoa msaada wala kuhudhuria harambee yoyote.

We jamaa huwa sikuelewi uko kama teja. Bila kumtaja Mbowe au Chadema huna mchango mwingine. Ndio maana hatuendelei nchi hii kwa vichwa kama chako! You're the most boring member humu ndani ya jukwaa kama hujui.
 
Kenge wa njano kabisa , hutaki mmeo atajwe?
 
Mbowe anajitapa ni tajiri lakini hutamuona akitoa msaada wala kuhudhuria harambee yoyote.
Mbowe anatoa Sana misaada hajitangazi kwenye media waislam wnamsemo wao unapotoa mkono wa kulia hakikisha mkono wa kisheria haufahamu... Kifupi usitoe kwenye kamera toa gizani wote tungetoa kwenye kamera ili tuonekane ingekuwaje... Pamoja na hayo makonda ana mazuri yake shida anapenda kujionesha sna hata akitoka pipi anataka aonekane
 
Mbowe anajitapa ni tajiri lakini hutamuona akitoa msaada wala kuhudhuria harambee yoyote.
Mnazidisha siasa kwenye mambo ya kawaida mwisho mtajikuta mnaharisha bure! Mbowe ameingiaje hapa jamani!!! Siasa zimetugawa sana kipindi hiki kuliko wakati wowote, ni hatari.
 
Kenge wa njano kabisa , hutaki mmeo atajwe?

IMG_2720.JPG
Kumbe wa juzi tu humu!
 
Sio kweli,Hugo aliyesaidiwa akapona angekuwa mwanafamilia wako ama MTU wa karibu na we we ninaamini usingeandika hayo.
Kuna mengine tukubali kuwa jamaa anajitahidi.
Huko sio kusaidia bali ni kutaka kujionyesha ni mtendaji mema ili kujiosha na alichomtenda wa Ubelgiji.
 
Mnyonge Mnyongeni Lkn Haki Yake Mpeni. Tusiwe Wanafiki Wa Kuponda Kila Kitu, Big Up Mkuu Wa Mkoa, Mungu Akubariki Kwa Wema Uloutenda.
 
Back
Top Bottom