RC Makonda arejesha furaha kwa Pascal Cassian

RC Makonda arejesha furaha kwa Pascal Cassian

Sasa hivi utaona watu wanaanza kumfata ili waanze kumtumia kwa kuimba - ili watengeneze pesa kupitia kwake. Wakati anaumwa kila mtu alim"shit" mpaka Makonda ndio akamsaidia. Hii dunia hiiiii............
 
Ndio Bin Adamu hao
 
Huko sio kusaidia bali ni kutaka kujionyesha ni mtendaji mema ili kujiosha na alichomtenda wa Ubelgiji.
Huyo waubelgiji katendwa na mwenyekiti wenu wa kudumu! Hivi uchaguzi lini huko chamani??
 
Huyo waubelgiji katendwa na mwenyekiti wenu wa kudumu! Hivi uchaguzi lini huko chamani??

Hapa sio ofisi za chama chochote cha siasa, kaulize kwenye ofisi hilo la uchaguzi. Ingekuwa katendwa na huyo mwenyekiti leo angekuwa jela siku nyingi. Rejea sakata la Akwilina hao viongozi walipobambikiziwa kesi
 
Mwenyekiti wenu naskia anatumia ndagu, hata afanye nn huwa haonekani kirahisi! Ana waganga hadi nigeria
 
*RC MAKONDA AREJESHA TABASAMU KWA PASCAL CASSIAN ALIEKUWA AMEPOTEZA MATUMAINI YA KUISHI, WALIOSEMA HAWEZI KUPONA HAWAAMINI KILICHOTOKEA*.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Paul Makonda* leo ametembelewa ofisini kwake na *Pascal Cassian* ambae amefika kwa lengo la *kutoa shukrani na kumthibitishia kuwa Amepona* tatizo la Mfumo wa *Figo na Kibafu cha mkojo* lililokuwa likimsumbua kwa *muda mrefu* na kumfanya *familia yake kupoteza matumaini.*

Itakumbukwa *RC Makonda* aliona taarifa ya *tabu na Mateso* aliyokuwa akiyapata *Pascal Cassian* kupitia mitandao ya kijamii na kuagiza *atolewe nyumbani* apelekwe *Hospital ya Muhimbili* ambapo alitoa *ahadi ya kugharamia matibabu* yake ndani na nje ya nchi na hivi karibuni alimpatia *kitita cha fedha kwaajili ya Matibabu nchini India, Tiket ya Ndege* kwa watu watatu waliomsindikiza pamoja na *fedha ya malazi kwa siku zote* walizokuwa wakipata matibabu Nchini India.

*RC Makonda amemshukuru Mungu kwa kutenda miujiza kwa Pascal ambae aliondoka nchini akiwa amebebwa huku akiwa na mifuko ya kuhifadhi haja ndogo na leo Pascal anamtembelea RC Makonda ofisini akiwa anatembea kwa miguu na akiwa anajisaidia haja ndogo kama alivyokuwa zamani*.

Aidha *RC Makonda amemshukuru Mungu kwa kumponya mtu ambae baadhi ya watu walisema hawezi kupona* na wengine kusema hadharani kuwa pesa alizotoa *RC Makonda* kwaajili ya matibabu ni *sawa na kutupa pesa kwenye shimo la choo.*

*RC Makonda* amewashukuru watu *wote waliomuunga mkono kwa kumuombea Pascal* hadi ameweza kupona huku akiwataka *watanzania kuwa na moyo wa upendo na kusaidiana.*

Kwa upande wake *Pascal Cassian* amemshukuru *RC Makonda* na kumuhakikishia kuwa *amepona* na sasa anaweza kuendelea na *shughuli zake za kutafuta kipato* kama alivyokuwa awali.

Nae *Mke wa Pascal Cassian na watoto* wake wamesema kuwa awali hao na familia pia *walikata tamaa kwa hali aliyokuwanayo Pascal* lakini *walipata tumaini jipya* pale walipohakikishiwa na *RC Makonda* atasimama *bega kwa bega na familia hadi kuhakikisha anapona.*View attachment 1119641View attachment 1119643View attachment 1119645
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kuna watu wanautajiri na Mali nyingi sana huku wakijitapa kuwa wanauchungu na umaskini Wa watanzania lakn hawajawahi hata kutembelea watoto yatima...
Makonda anajitahidi kadri ya awezavyo, ..

Baraka zinakuwa kwa atoaye,
 
Mwenyekiti wenu naskia anatumia ndagu, hata afanye nn huwa haonekani kirahisi! Ana waganga hadi nigeria

Hilo sijui, labda kwakuwa ww una vinasaba vya ushirikina udhibitishe hilo. Sio kila mtu anaamini ushirikina ndio maana hunioni nikiusifia mwenge wa uhuru.
 
Hilo sijui, labda kwakuwa ww una vinasaba vya ushirikina udhibitishe hilo. Sio kila mtu anaamini ushirikina ndio maana hunioni nikiusifia mwenge wa uhuru.
Unajifanya hujui?? Muda wa uchaguzi wa mwenyekjti ushapita, hujui kwa nn hata hamjashtuka?? Kawageuza misukule, yaani mpaka atapoamua yeye uchaguzi uwe lini!
 
Unajifanya hujui?? Muda wa uchaguzi wa mwenyekjti ushapita, hujui kwa nn hata hamjashtuka?? Kawageuza misukule, yaani mpaka atapoamua yeye uchaguzi uwe lini!

Narudia tena, hapa sio ofisi ya chama chochote cha siasa. Ukitaka kujua ratiba za vyama nenda kwenye ofisi zao au kama wanaupdates tovuti zao. Isitoshe mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa bali ni shabiki wa kutupwa wa cdm. Sasa unaponiambia kanigeuza msukule mpaka yeye atake naona kama unaanika nguo kavu tu.
 
Yaani uende kuulizia uchaguzi wa mwenyekiti kwenye ofisi za chadema?? Unamjua vizuri mbowe wewe?? Unataka nirudi maiti?
 
Yaani uende kuulizia uchaguzi wa mwenyekiti kwenye ofisi za chadema?? Unamjua vizuri mbowe wewe?? Unataka nirudi maiti?

Mbowe ni ofisi ya cdm? Ofisi za cdm ziko karibu kila sehemu nchi hii. Mbowe angekuwa anateka au kuua, watu si wangeenda kwake kuunga mkono juhudi za Mbowe?
 
Back
Top Bottom