johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,830
- 145,837
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema DC wa Pangani ambaye ndiye mwenye umri mdogo kuliko maDC wote ni mchapakazi kweli.
Makonda amesema mkuu huyo wa wilaya ambaye ni mwanadada ni mbunifu na asiyechoka katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Pangani na mkoa wa Tanga kwa ujumla.
Kadhalaka mh Makonda ametoa zawadi ya gari kwa malkia wa nguvu ambayo ataikabidhi siku ya Mei mosi pale uwanja wa uhuru.
Source: Clouds tv