RC Makonda aipaisha Dar, matokeo ya darasa la saba

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,976
Mkoa wa Dares Salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa.

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya madarasa, kujaza madawati kila shule na kugawa chaki na vitabu kwa wakati vimesaidia sana kurejesha morali ya walimu na wanafunzi kufundisha na kusoma kwa bidii.

Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.
 
bb07cc1dc75bacaf916db00a36b99294.jpg
 
Mkoa wa Dares salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa .

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda.
Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.

Wenye roho za korosho wajinyonge na wakalegee huko.
Ungeleza hzo jitihada na ubunifu walau kwa uchache ili sisi wa chatle 2pate picher.
 
Au mleta mada ni mlengwa mwenyewe?
Maana haiingii akilini kutowasifia walipiga kazi na kusifia mpiga kelele
 
Mkoa wa Dares salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa .

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda.
Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.

Wenye roho za korosho wajinyonge na wakalegee huko.

Vipi kuhusu yale ya form 4?
 
Bashite hashindwi kuwazukia waandaaji hotuba wa mkuu ili waweke vipengele vya kumpongeza katika hotuba zijazo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkoa wa Dares salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa .

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya madarasa, kujaza madawati kila shule na kugawa chaki na vitabu kwa wakati vimesaidia sana kurejesha morali ya walimu na wanafunzi kufundisha na kusoma kwa bidii.

Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.

Wenye roho za korosho wajinyonge na wakalegee huko.
Makonda ni Mwalimu au ni nani ??Hizo nyuzi za kumsifia lazima ziwepo kwa sababu ndiyo ajira yenu
 
Back
Top Bottom