RC Makonda aibiwa simu

Kwan kwenye bunge la katiba nan aliiba simu?
 
Safi sana muosha huoshwa naye amezidi simu aliweka mezani akaondoka akaacha hapo?
 
Subirini tamko wenda ni ukuta ndio wameiba Simu ya mkuu
 
If i were him wala nisingetangaza haaaa! Ningefungia machungu yangu ktk rambo nyeusiii asingejua mtu nimelizwa!
 
Hapana hiyo simu atakuwa ameificha makusudi yeye mwenyewe kwasababu anazo zijua yeye.

Mimi Makonda simuani hata kidogo kwasababu mara nyingi huwa anaongea vitu ambavyo haviwezekani.
SO NI TRUMP WA BONGO SIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…