Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,574
- 164,454
Another breaking news from MakondekoMkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani.
Chanzo:JamboLeo
kwa simu ya kichinma tutampopoa mawe khaaaaaaaaaa kodi zetu si za kuchezewa kimaandaziDuh!atembeze pira jiji zima.....
Ovaa
Ngoja wale waamrishwe leo.....difenda ni mtaa kwa mtaa mkuukwa simu ya kichinma tutampopoa mawe khaaaaaaaaaa kodi zetu si za kuchezewa kimaandazi
tehetehe oleeeeeeeNgoja wale waamrishwe leo.....difenda ni mtaa kwa mtaa mkuu
hapana hiyo simu atakuwa ameificha makusudi yeye mwenyewe kwasababu anazo zijua yeye.
mm makonda simuani hata kidogo kwasababu mara nyingi huwa anaongea vitu ambavyo haviwezekani.