RC Makalla: CHADEMA Wanalalamika Diamond Platinumz amesababisha Mkutano Wao ukose Watu, nawaambia Mimi ndio nimemleta Diamond awape za Uso!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,006
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema yeye ndio kamleta Diamond Platinum Kufanya Show Mwanza na kusababisha Mkutano wa Chadema ukose Wahudhuriaji

Makalla amesema Chadema Wamekulia za uso hivyo wasimlaumu Diamond bali wamlaumu yeye aliyewaleta

Makalla amesema Diamond Platinum ni mkubwa kuliko Chadema na kamwe Mahali alipo Diamond Chadema hauwezi kufurukuta

Source: Twitter account ya John Heche

Mlale Unono😀😀🔥
 
Mwambieni RC Dar palimshinda na Mwanza pia pata mshinda toka ameeingia mgao wa maji ni mkubwa japokua ziwa liko hapo lakini kukaa wiki bila maji kwenye bomba imekua kawaida Mwanza, alafu huko magu wananchi wanaandamana wanataka kuongea na mkuu wa mkoa yee ni kupiga vijembe tu
 
Eti na yeye ni kiongozi na tunamlipa kwa Kodi zetu 🤔🤔 Kila siku tuna lalamika tunataka maendeleo alafu wanao tuongoza kuyafata hayo maendeleo ni kama huyo jamaa🤔🤔 mboga mboga Wana watu wa hovyo Sana kwenye shamba lao
 
Back
Top Bottom