sokowelehk
Senior Member
- Sep 16, 2018
- 161
- 126
Ni hatari kwa wale wanaonyanyasa wanyonge.Nchi yetu ina viongozi wachache sana,anajua misingi na kanuni za uongozi lakini hayo yote anayaweka kando.Yeye ni mtu hatari sana?,uhatari wake ni upi? .Rais wetu anayo kazi
Wanyonge ni kina nani? Kwa uthibitisho upi? Labda wanyonge katika dunia nyingine.Ni hatari kwa wale wanaonyanyasa wanyonge.
Sasa kaja na la waandishi wa habariJamaa kavuka mipaka hadi namwonea huruma
Ninachojua ni mtu mwenye misimamo isiyotetereka. Haamini sana katika mwanadamu. Alinyanyaswa sana na kina membe alipokuwa lumumba sababu alikataa kutumiwa. Na membe alimuambia utajua mi nani. Alidhani angekuwa rais.Usiniudhi...usinichezee..
.mhNinachojua ni mtu mwenye misimamo isiyotetereka. Haamini sana katika mwanadamu. Alinyanyaswa sana na kina membe alipokuwa lumumba sababu alikataa kutumiwa. Na membe alimuambia utajua mi nani. Alidhani angekuwa rais.
Badae walitaka wamtoe lumumba wampeleke vichororoni sababu ya misimamo yake isioyumba. Hata hivyo sababu anaamini kila jambo ni la Mungu na si mwanadamu basi Magu akapita na kumteua DC na badae RC.
Huyo ndio Ally Happi. Muda utasema.
Naye ameshughulikiwa na mwanamke leo..ngoma drooNi baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 2306806
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Alianza kama wenzake kina Sabaya na Makonda, ku personalize uongozi wa umma.Usiniudhi...usinichezee..