RC Hapi: Mimi ni mtu hatari, usiniudhi, usinichezee!

Nikirudi shule nianzie kusoma level gani?
Grade 4 inawatosha ninyi wabongo mkaanze kusoma nini maana ya yafuatayo

1) wewe ni nani?? Upo hapa duniani kwa dhumuni gani??

2) utu ni nini ??

3) haki zako za msingi na wajibu wako uwapo popote duniani

4) maana ya siasa na demokrasia ni nini?? nk

Ukishayajua haya utayajua mengi zaidi
 
Vyama vya upinzani ni adui namba moja wa taifa la Tz katika udikteta wa awamu ya jpm?
Naona nguvu nyingi sana zinatumika kuudhibiti kuliko juhudi za kudhibiti ujinga na maradhi. Shule hazina walimu wa kutosha wala vitabu lakini fedha zinapelekwa kununua wapinzani ( oil chafu, kwa mujibu wa Nepi Nnauye). Shule za serikali zinazalisha zero kwa juhudi lakini serikali inahangaika na wapinzani. Ipo siku dikteta wetu atakamatwa ashitakiwe the Hague kwa unyama dhidi ya raia wake.
 
Vipi wale waliokuwa wakimuita jk dhaifu..walikuwa wanastahili kumuita vile?? Au shida ni pale mtu anapojinasibu kama yeye hachezewi?
Baba wa watu walimdhihaki sana mungu anawalipa. Lakini JK alisema uongozi ukiwa wa vijana moto utawaka
 
Mbona hivyo tena Mkuu? Wewe unaunga mkono kuvunjiwa nyumba? au unapinga alichosema RC? Au unapinga vyote?
What if kavunjiwa Nyumba kwa mujibu wa sheria Kama wale wa kimala? Na kwanini asiende mahakamani badala yake ameenda kwa RC, na Huyo RC amejuaje Kama huyo mlalamikaji Anasema ukweli?
 
Mkuu ungeeleza pia kuwa katika hiyo Hugo mzee kika nyumba anayokwenda kupanga huyu diwani akiwapiga mkwara wenye nyumba ili huyo mzee alale nje.
Kusena clip hiyo inasikitisha kuona MTU kwa matakwa take anaweza kuchukuwa mgambo na kwenda kubomoa nyumba ya MTU bila idhini ya mahakama.
 
Kama yanamfurahisha bwana wao, yaendelee tu.

Kwanza naona watu wameanza wameanza kuzoea tayari mfumo pofu huu.
 
wamelewa madaraka
 
Ndo muda wao acha wafanye wanayotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…