Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,122
Hivi ziara gani ya kushtukiza huku akiongozana na watendaji wake wote wa mkoa, waandishi wa habari wa karibu vyombo vyote vikubwa, wanaCCM nk?
Hivi mkuu huyo wa mkoa alishindwa nini kuja kiofisi na kuongea na management ya uongozi wa Hospitali hiyo katika kikao chake cha ndani, kuwaambia hicho anachokisikia, kuwapa nafasi ya kuwasikiliza nao wanasemaje, kupanga mikakati ya pamoja ili kuleta matokeo chanya nk?
Angefanya hivyo angepungukiwa nini?