RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Kwa hakika anayetafuta political mileage Arusha kwenye msiba hawezi kuwa Lema aliyeshinda uchaguzi kwa kishindo, tena muda mrefu baada ya uchaguzi mkuu kumalizika. Wanaotafuta kick watakuwa walewale wanaotumia mahakama kumkomoa Lema. Sasa wameanza kutumia misiba kama platform ya kumdhalilisha na hata kumuingiza Mbowe bila kujua kwenye mipango yao ovu. But one thing I am sure about is that in all this they are shooting themselves in the foot. Wanafanya chama chao kionekane kama cha kishetani. Wanawaonyesha wana Arusha kwa vitendo kuwa, hata kama Lema siyo kiongozi mzuri sana, lakini angalau ni binadamu mwenzao wa kawaida; siyo jitu katili linaloweza kuwaumiza wenzake ili tu yeye ajifariji kwamba amewakomesha. Kwa watu wa aina hii busara za VP ni usaliti wa kupuuzwa!
 

Thank you.

Tuko pamoja na nakubaliana na wewe kama tu ambavyo nimesema toka mwanzo kwamba hatuwezi kuzuia ajali kabisa isipokuwa tunaweza kupunguza "impacts" ya ajali kama tu precautions flaniflani zitachukuliwa mapema kama kufunga mkanda nk

Na mimi kusema kwamba hatuwezi kuzuia ajali kabisa, sikuwa na maana kwamba, mara itokeapo ajali basi watu wasikae chini kuchunguza Chanzo cha ajali hiyo na kuona kama kuna makosa ya kibinadamu yalisababisha na yana suluhu yake kwa ajili ya kuzuia ajali kama hiyo isitokee tena....

Kiujumla, tunakubaliana wala hakuna tatizo mkubwa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…