digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,574
- 2,295
Atawamaliza sio kwa kafara hizi
None of our businessTANZIA
Jana tarehe 04/10/2018, Rc Gambo amempoteza dada yake Bi Mwajuma Gambo katika hospitali ya Muhimbili, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
Mungu sio mwanadamu...unavyofikiria suvyo anavyofikiria...Jamaa kawa mpole huenda Mungu anamfundisha kuwa kuna maisha nje ya uongozi pole kwake