RC Chalamila: Vituo vya mafuta vifunguliwe na kutoa huduma

RC Chalamila: Vituo vya mafuta vifunguliwe na kutoa huduma

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Leo nimekutana na baadhi ya vitu vya mafuta barabara ya Bagamoyo vipo wazi kwa vile tu ambavyo havikupata madhara, lakini hata bei ya mafuta imendelea kusalia ileile ilikuwepo awali kabla ya maandamano!
================
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Rc Chalamila amezungumza na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam ambapo ameitaka EWURA kanda ya mashariki kuitisha kikao na wamiliki wa vituo vya mafuta.

 
Back
Top Bottom