RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

Hivi huyu jamaa ana akili sawa? Mbona yuko kama joker fulani hivi? Anachojua yeye ni kujipendekeza kwa namna yoyote. Mama Samia akiendelea na wajinga kama hawa atakwama mapema sana. Kuna watu wengi tu wenye busara wanaoweza kufanya hiyo kazi ya ukuu wa mkoa.
 
Muulize hapo aliongea naye kwa simu vipi wakati ana mipira ya kupumua kwenye pua na mdomo pale JKCI/Mzena? Inabidi ajiuzuru kabla ya kuombwa.
 
Back
Top Bottom