Anatofauti gani na wewe kichwa maji usiye na michango yenye akili, upo kama bendera fata upepo then unamtag kishtobe wako.. hivi umeingiaje JF huku akili za kiazi boya cc Mahondaw
Ni kweli
Mbona sisi ambao hatukuwa na mipango ya kuiba na kuchoma mali za watu na kuharibu miundo mbinu tulitoka freshi tu tulikuwa mitaani, na tunapita vizuizi bila shida
Tena msikiti wetu upo mtaa wa tatu na swala zote nimepiga
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"