we bwana wewe,,,, acha kutisha watu , hebu acha kutekenya usivyoweza kutuliza.... kaa ofisini endelea kula unachokula,,,,
sisi wadanganyika ni wastaarabu, tumeshakubaliana na yatokanayo..
watanzania waliojiandikisha kupiga kura ni Mil. 37... waajiriwa wa serikali wote hawazidi Mil 1...