wamoliki wa mabasi wanapanga kumsingizia rc arusha kuwa amrvunja sheria za sumatra. kwa kuziruhusu noah kusafirisha abiria. njsma hizo zinapangwa na enea mrutu mmiliki wa mabasi ya kirumo na mmoja aitwar osca ambaye epewa jukumi la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji. huku wakimtuhumu mlongo kuwa anshisa na hizo noah. wamrpanga kumona waziri ili awanusuru. maana noaj zitsua soko la coaster kama pikipiki zilivyomaloza taxi. mwisho wanalaumu wenzao wa arusha kwa kutomuona rc (rushwa)
nimenasa wakipigiana simu

Inaonekana PC ya mshikaji hizo Key pad zina kutu namshauri adondoshee Oil kidogo ili ziwe laini!Tujenge utamaduni wa ku edit habari kabla hatujazirusha katika mitandao mbalimbali, kwani ulichoandika hakieleweki kabisa.