mkibunga
Senior Member
- Nov 17, 2010
- 196
- 25
Wamiliki wa mabasi wanapanga kumsingizia RC Arusha kuwa amevunja sheria za Sumatra kwa kuziruhusu Noah kusafirisha abiria.Njama hizo zinapangwa na Enea Mrutu mmiliki wa mabasi ya Kirumo na mmoja anaitwa Oscar ambaye amepewa jukumu la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji.
Huku wakimtuhumu Mulongo kuwa ana hisa na hizo Noah, wamepanga kumuona waziri ili awanusuru maana Noah zitaua soko la Coaster kama pikipiki zilivyomaliza taxi.
Mwisho wanalaumu wenzao wa Arusha kwa kutomuona RC (rushwa).