RC Arusha asukiwa zengwa na TABOA

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
Wamiliki wa mabasi wanapanga kumsingizia RC Arusha kuwa amevunja sheria za Sumatra kwa kuziruhusu Noah kusafirisha abiria.Njama hizo zinapangwa na Enea Mrutu mmiliki wa mabasi ya Kirumo na mmoja anaitwa Oscar ambaye amepewa jukumu la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji.

Huku wakimtuhumu Mulongo kuwa ana hisa na hizo Noah, wamepanga kumuona waziri ili awanusuru maana Noah zitaua soko la Coaster kama pikipiki zilivyomaliza taxi.

Mwisho wanalaumu wenzao wa Arusha kwa kutomuona RC (rushwa).
 
Tujenge utamaduni wa ku edit habari kabla hatujazirusha katika mitandao mbalimbali, kwani ulichoandika hakieleweki kabisa.

wamoliki wa mabasi wanapanga kumsingizia rc arusha kuwa amrvunja sheria za sumatra. kwa kuziruhusu noah kusafirisha abiria. njsma hizo zinapangwa na enea mrutu mmiliki wa mabasi ya kirumo na mmoja aitwar osca ambaye epewa jukumi la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji. huku wakimtuhumu mlongo kuwa anshisa na hizo noah. wamrpanga kumona waziri ili awanusuru. maana noaj zitsua soko la coaster kama pikipiki zilivyomaloza taxi. mwisho wanalaumu wenzao wa arusha kwa kutomuona rc (rushwa)
nimenasa wakipigiana simu
 
Tatizo sio tuwe na utaratibu wa ku edit ni kwamba mrusha mada anaonekana stv 7,sasa what do u expect?hata jinsi anavyoandika ni kama vile hajiamini na anachokisema yeye aseme kama by doing so itamuaharibia biashara yake kivipi na sio kusema otherwsie
 
Pombe banaaa...ulikkuwa kwenye bodaboda/Rough road wakati unaandika huu uzi au!!!!?? si amini kama ni makusudio yako kuandika hivi!
 
Inawezekana aliyeandika habari hizi wa facebook maana wamezoea kufupisha na pia hawajali kusahihisha maandishi yao kabla ya kutuma
 
Lakini pamoja na makosa yake kuna kitu hapa!
Someni katikati ya mistari jamani!
Ishu kubwa mimi niliyoiona ni kwamba RC Mulongo anatakiwa "aonwe"!
Je aonwe vipi wakati anafanya kazi ya utumishi wa umma kwa niaba ya Rais?
Je huwa rais anahongwa ili afanye kazi yake?
RC tuambiwe huwa "unaonwaje?"
 
Kwani hizi NOAH si ni juzi tu bungeni nimesikia agizo la Mwakyembe kwa SUMATRA kuwa ziruhusiwe baada ya kufanyiwa kaguzi stahiki!
Sasa iweje hao jamaa wa Arusha wamlalamikie Mkuu wa Mkoa au ni kwamba tamko hili la Mwakyembe lilikuwa hewa!!!
 
Kwani kulalamika kwa kufuata utaratibu ni kosa? Kwani ungeandika thread bila majina ya hao uliowataja usingeeleweka?
 
Wakuu sasa hivi ni free market noah ziachwe zifanye kazi yake hawa wenye costa wasilazimishe mambo watakavyo.
 
Tujenge utamaduni wa ku edit habari kabla hatujazirusha katika mitandao mbalimbali, kwani ulichoandika hakieleweki kabisa.
Inaonekana PC ya mshikaji hizo Key pad zina kutu namshauri adondoshee Oil kidogo ili ziwe laini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom