Napitia kidogo hizo red na naomba msaada kwenu, Magessa kwani kwao ni arusha? hata kama wengi wao wanatoka nje ya arusha so waache haki ikisiginwa arusha bila kuingilia?
Naomba kujua wasifu wa huyu mtu na ninaona kabisa hapa kuwa kwa style hii amani haiwezi kupatikana ktk nchi hii.
Narudia tena who is Magessa?
Nimependa kauli yake kwamba hata wakiingia madarakani.........,kumbe analitambua hilo na anaamini jamaa wanaweza kukamata dola
Kuna mtu (Mbowe), juzi alikuja hapa na kuhoji hivi Mkuu wa Mkoa (Arusha) ni nani hadi atishe watu?
Nimeipenda hiyo.
Napitia kidogo hizo red na naomba msaada kwenu, Magessa kwani kwao ni arusha? hata kama wengi wao wanatoka nje ya arusha so waache haki ikisiginwa arusha bila kuingilia?
Naomba kujua wasifu wa huyu mtu na ninaona kabisa hapa kuwa kwa style hii amani haiwezi kupatikana ktk nchi hii.
Narudia tena who is Magessa?
Hivi mkuu wa Mkoa (Arusha) ni nani hadi atishe watu? Faizafox najua ulioegemea ila nasikitika sijui maslahi yako kwa wanaosigina haki ya raia, siku moja utangaze maslahi yako toka kwao
Du! hapa sister bado sijakusoma "What you mean?"
Najua tatizo ni Oblangata yako na hypothalamus waya zinaingiliana...Nyie siasa ya haki mnaijuwa leo? Wenzenu CUF ndio sera yao hiyo na wakaona fujo haiwafikishi mahali. Nyie haki gani mlionyimwa nyinyi wengine wakapewa? Kura tunapiga wote. Nini zaidi? Tatizo lenu Kikwete kuwa Rais? Mkiambiwa tuonesheni jema kabla ya Kikwete ambalo Kiwete hajafata japo mara mbili yake, hamna jibu. Ooohh "ufisadi" huo ufisafi kuna anaeushughulikia zaidi ya Kikwete? Mnanchekesha!
jamaa ni mzaliwa wa kibara-bunda katika kijiji cha mwigundu wazazi wake ni wachawi ile mbaya.
Wewe mwa Arusha au ni kama huyo Kibaraka wako unaemwita RC? Mwana Arusha hawezi kua na akili ya kushikiwa kama yako. Wana Arusha hatutumii masaburi kufikiri kama unavyodhani..mwana Arusha calls a spade a spade..RC is 100% right.
CHAPA KAZI KIONGOZI, HAKUNA WA KUKUTISHA. UNAYO SUPPORT YA WANA-ARUSHA.
Wakati mefika kusafisha mambo ya kihuni Arusha. Enough is enough.
Zile dawa zako za ktuliza kichaa umeshameza au bado!! hebu fanya hima kameze haraka usije ukaharibu dozi bure...Nyie siasa ya haki mnaijuwa leo? Wenzenu CUF ndio sera yao hiyo na wakaona fujo haiwafikishi mahali. Nyie haki gani mlionyimwa nyinyi wengine wakapewa? Kura tunapiga wote. Nini zaidi? Tatizo lenu Kikwete kuwa Rais? Mkiambiwa tuonesheni jema kabla ya Kikwete ambalo Kiwete hajafata japo mara mbili yake, hamna jibu. Ooohh "ufisadi" huo ufisafi kuna anaeushughulikia zaidi ya Kikwete? Mnanchekesha!
Nyie siasa ya haki mnaijuwa leo? Wenzenu CUF ndio sera yao hiyo na wakaona fujo haiwafikishi mahali. Nyie haki gani mlionyimwa nyinyi wengine wakapewa? Kura tunapiga wote. Nini zaidi? Tatizo lenu Kikwete kuwa Rais? Mkiambiwa tuonesheni jema kabla ya Kikwete ambalo Kiwete hajafata japo mara mbili yake, hamna jibu. Ooohh "ufisadi" huo ufisafi kuna anaeushughulikia zaidi ya Kikwete? Mnanchekesha!