Uhamisho wa wanandoa kumfuata mwenza wake unaruhusiwa kisheria mkuu!. Taratibu hzo huanzia kwa HR ama km upo idara ya elimu basi itakuwa kuanzia kwa ofsi ya DEO.
So kwa kuwa mpaka sasa huna tatzo ama mgogoro na mtu yeyote anaehuska kuhusu suala lako basi nachoweza kushauri ni wewe kwnd kwa wahuska ukaanze hizo process UKIKWAMA kwa sababu ya bosi wako kupindisha sheria hapo ndo tutakupa msaada pale ulipokwama.
Ni mapema mno kuanza kutengeneza LEGAL ACTIONS wakati huna tatzo na taratib za uhamisho!.