ronald2012
Member
- Oct 7, 2012
- 5
- 0
Wadau mambo vip naomba kuuliza ukiwa Na rb inakuwa invalid baada ya mda gan tangu uandikishe
Mkuu nahitaji msaada wa kisheria kuhusu uhamisho wa MKE wanguHakuna limitation of action/expiration of legal document kwny kesi za jinai kbla ya kutolewa hukumu mkuu!.
Sheria zoote kwa sasa zipo chini ya Muhimili ule uliojichimbia zaidiMkuu nahitaji msaada wa kisheria kuhusu uhamisho wa MKE wangu
UPI MKUUSheria zoote kwa sasa zipo chini ya Muhimili ule uliojichimbia zaidi
Ule uliowasamehe Kilimanjaro kwa kuchagua upinzaniUPI MKUU
Sasa ndo siwezi kupata msaada wa kisheria?Ule uliowasamehe Kilimanjaro kwa kuchagua upinzani
Uhamisho wa wanandoa kumfuata mwenza wake unaruhusiwa kisheria mkuu!. Taratibu hzo huanzia kwa HR ama km upo idara ya elimu basi itakuwa kuanzia kwa ofsi ya DEO.Hakuna limitation of action/expiration of legal document kwny kesi za jinai kbla ya kutolewa hukumu mkuu!.
Mpaka muhimili utakapojichimbua au kuchimbuliwa, Tuendelee kuombaSasa ndo siwezi kupata msaada wa kisheria?
Nimekuelewa mkuu, shukran sanaHakuna limitation of action/expiration of legal document kwny kesi za jinai kbla ya kutolewa hukumu mkuu!.
Hakuna limitation of action/expiration of legal document kwny kesi za jinai kbla ya kutolewa hukumu mkuu!.
LLA. No. 10/1971Weka authority/Kifungu cha sheria
Ule uliowasamehe Kilimanjaro kwa kuchagua upinzani
Mke wangu mimi kaanza kuomba uhamisho toka mwaka 2014,kinachosikitisha kwa sasa wameamua kumuhamishia mbali zaidi huku wakijua ana matatizo kiafya NA sehem alikopelekwa hakuna hata kituo cha afya.anasumbuliwa na presha ya kushuka na madonda ya tumbo.nimelalamika kwa mkurugenzi ila naona mkurugenzi ana dhamira ya kuwalinda wahusika.Uhamisho wa wanandoa kumfuata mwenza wake unaruhusiwa kisheria mkuu!. Taratibu hzo huanzia kwa HR ama km upo idara ya elimu basi itakuwa kuanzia kwa ofsi ya DEO.
So kwa kuwa mpaka sasa huna tatzo ama mgogoro na mtu yeyote anaehuska kuhusu suala lako basi nachoweza kushauri ni wewe kwnd kwa wahuska ukaanze hizo process UKIKWAMA kwa sababu ya bosi wako kupindisha sheria hapo ndo tutakupa msaada pale ulipokwama.
Ni mapema mno kuanza kutengeneza LEGAL ACTIONS wakati huna tatzo na taratib za uhamisho!.