Raza: Magufuli apewe uenyekiti CCM

Raza: Magufuli apewe uenyekiti CCM

Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..

NYUMBU HAWAPENDI SWALI HILI hahaha
 
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..

mkuu Mbowe alishauza chama sasa hivi hana lake, sasa hivi hakuna tena mwenyekiti.kuna kiongozi mkuu wa chama naye ni Lowasa na makamu wake Sumaye
 
Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, kataka Rais mstafu Jakaya Kikwete kuondoka na kumwachia Rais mpya, John Magufuli uenyekiti wa CCM...

Kada huyo kasema hayo leo, huku baadhi ya wabunge vijana nao wakijipanga kumuomba Kikwete, kuondoka na kumwachia Magufuli chama kama walivyofanya watangulizi wake, Rais Mwinyi, na Mkapa...

Source: Gazeti la Leo

Hivi hakuna sheria ya kumshitaki Kikwete kwa nini anang'ang'ania unyekiti na kutuchekea tu wakati we don't want to see him anymore?
 
Naona unahasira kweli pole bwana vumilia.

Sikia Dr. Slaaa.....ni kweli nina hasira ila huyu jamaa hakufaa kuwa rais wetu kwani madhara yake hata wewe uliyaona kipindi ulipokuwa Chadema/Ukawa.
 
Kikwete hatakiwi kuendelea na nafasi kubwa kiasi hicho katika chama, amelifanyia Taifa mambo 'makubwa' ya kusisimua.......apumzike.

Ni kweli kwani mimi nikisikia tu jina lake na mwanaye Ridhiwani nywele zinanisimama kichwani japo nina kipara.
 
JK abaki kuwa mwenyekiti wa chama, magufuli anakazi kubwa ya kudeki hii nchi.

Mkuu huoni JK anavyoanza kumpunguza kasi Rais wetu kipenzi, au hujasikia kauli za Jk leo
 
Ni kweli kwa nini Kikwete abakie kuwa mwenyekiti wa chama? Huyu inabidi anyang'anywe uenyekiti mara moja wala asibakie kiporo.
MBOWE mnamnyang'anya lini...... CHADOMO miaka takribani 25 toka ianzishwe ...na Chama hichi katika kipindi hicho kimekuwa na wenyeviti kamili wawili 1) Edwin Mtei - Mchagga 2) Mkwe wa Edwin Mtei ( mr Freeman)- Mchagga...... in Between Bob Makani alikaimu kwa muda ili the heir to the throne aandaliwe........ Katika kipindi cha Miaka 25 CCM imeshakuwa na Wenyeviti 4 1) Mzee Mwinyi - Mnzanzibari 2) Mzee Mkapa - Mmakonde and 3) Jakaya Kikwete - Mzalamo....

UKIWA msiwe na KWIKWI na Chama cha Kitaifa....Kimejipanga na #Hapakazitu# atakapokuwa tayari atatwaa taji lake....

Tupe update za WENJE huko mwanza ! Jana Lembeli alioneka maeneo ya Tinde akinywa uji kwenye vibanda!
 
Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, kataka Rais mstafu Jakaya Kikwete kuondoka na kumwachia Rais mpya, John Magufuli uenyekiti wa CCM...

Kada huyo kasema hayo leo, huku baadhi ya wabunge vijana nao wakijipanga kumuomba Kikwete, kuondoka na kumwachia Magufuli chama kama walivyofanya watangulizi wake, Rais Mwinyi, na Mkapa...

Source: Gazeti la Leo

Raza anaogopa nini atulie watu wanatumbua majipu na Raza ni jipu uko Zanzibar shein inabidi amtumbue kujipendekeza hakuta saidia sasa.
 
Back
Top Bottom