Raza: Magufuli apewe uenyekiti CCM

Raza: Magufuli apewe uenyekiti CCM

Nyie Watu Vipi Mnapenda Kufuatilia Ya Wenzenu Tu,mkiguswa Nyinyi Ni Kama Sindano Ya Moto Iliyopita Mioyoni Mwenu....
Mkae Mjue Hamtupi Mawe Kwa Vilema Hata Sisi Tunamikono Na Tunauwezo Vilevile Wa Kutupa.

asikuumize kichwa hao ni vijana wa kingunge wanaona aibu kurudi wanataka JPM akiwa mwenyekiti wasema sasa chama kimepata pumzi mpya wanarejea, wakae hukohuko kwa mkoloni wao.
 
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..

Umeelewa maudhui ya post kweli?
 
Umeelewa maudhui ya post kweli?

Na Wewe Umeelewa Jibu Alilotoa??
Katoa Jibu Kauliza Swali,jk Anamaliza Muda Wake 2017,je,mbowe Anamaliza Muda Wake Lini Au Katiba Ya Chadema Inasema Nini Juu Ya Ukomo Wa Mwenyekiti?
 
JK abaki kuwa mwenyekiti wa chama, magufuli anakazi kubwa ya kudeki hii nchi.

Yale yalee kulia DED kushoto DC haijulikani mwenye mamlaka nani huko mawilayani, yaani full kujichanganya.
 
JK anavyopenda kusafiri hawezi kukubali wazo hili. Angalau kwa kuwa Mwenyekiti wa CCM, atapata trip kidogo. Akinyang'anywa wenyekiti atapata shida maana Msoga hapakaliki
!
 
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..
Mbona yeye aliachiwa na Mkapa kabla ya 2007?Mkapa amekuwa mwenyekiti kwa miaka 7 tu badala ya kumi!Jk anatakiwa kutumia busara na si shinikizo amuachie mh Pombe uenyekiti wa ccm ili afanye kazi yake kwa amani maana kama akina Riz walikuwa wanafanya biashara tujiridhishe kama ilikuwa halali na kodi zililipwa
 
JK abaki kuwa mwenyekiti wa chama, magufuli anakazi kubwa ya kudeki hii nchi.

Kazi ya kudeki hii nchi itakuwa rahisi kwa Magufuli mara tu hapo Kikwete atakapomkabidhi uenyekiti wa ccm. Hivi sasa Kikwete anamuwekea kiwingu kwani uchafu mwingi una mkono wa Kikwete hivyo haitakuwa rahisi kuukata ingawa unakatika!!
 
Kikwete angekuwa na busara angejiuzuru uenyekiti mara tu baada ya wajumbe wa NEC kumuimbia wimbo kuwa walikuwa na imani na Lowassa kabla ya mkutano wao!!! Sasa kwavile ni mtu asiye na aibu wala busara ndio atang'ang'ania kukaa hapo kulinda maslahi yake!!
 
Kwani Wewe Katiba Ya Ccm Unaijua?Kikwete Anamaliza Muda Wake 2017,unaposema Anautaka Wakati Muda Wake Wakumaliza Bado Unashangaza!

wenzako waliacha hata kabla ya muda kuisha na yeye anatakiwa afanye hivo hivo.....
 
Na Wewe Umeelewa Jibu Alilotoa??
Katoa Jibu Kauliza Swali,jk Anamaliza Muda Wake 2017,je,mbowe Anamaliza Muda Wake Lini Au Katiba Ya Chadema Inasema Nini Juu Ya Ukomo Wa Mwenyekiti?

Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu ukitishia nafasi yake utaitwa msaliti.
kama unabisha muulize zito na ujifunze kwa habari ya chacha wangwe.
 
Kwani Wewe Katiba Ya Ccm Unaijua?Kikwete Anamaliza Muda Wake 2017,unaposema Anautaka Wakati Muda Wake Wakumaliza Bado Unashangaza!
Naifahamu Mkuu...ila sote huwa tunatumia Busara kukaimisha uongozi...
Kama ilivyokuwa kwa mwalimu mpaka kwa Ben....
Kikwete mwenyewe alipewa kabla ya Muda.
Tafuta sababu ya kupewa kabla ya muda utaelewa namaanisha nini..
Sitarudi kuchangia hii kitu...mzee kikwete apumzike tujue madudu yaliyopo katika chama pia...au mnaogopa kuumbuka?
 
Ujue Nawashangaa Sana Wapinzani,ni Nyinyi Mliokuwa Mkipinga Rais Kuwa Mwenyekiti Leo Hii Ni Nyie Tena Mnakuja Na Kusupport Hili Jambo Tena Kabla Ya Muda,je Tuwaeleweje?Tuwaweke Upande Gani?
 
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..
Nenda kamuulize Raza
 
Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, kataka Rais mstafu Jakaya Kikwete kuondoka na kumwachia Rais mpya, John Magufuli uenyekiti wa CCM...

Kada huyo kasema hayo leo, huku baadhi ya wabunge vijana nao wakijipanga kumuomba Kikwete, kuondoka na kumwachia Magufuli chama kama walivyofanya watangulizi wake, Rais Mwinyi, na Mkapa...

Source: Gazeti la Leo

Kuna wakati hata ukifanya mazuri watu wanakuchoka, JK sikiza sauti zetu, kapumzike mazimaa tafadhali, tunaomba uenyekiti!!
 
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..

Kwa nini yeye afikishe 2017 wakati yeye aliachiwa mapema tu, afu kwa nini tuhoji ya Chadema wasiokuwa na utamaduni wa kuachiana ili hali hawatuhusu? Aachie mapema tuwadhibiti akina Lameck Airo ndani ya chama kwa kauli zao tata!!!
 
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..

Aipokea lini kutoka kwa Mkapa?
 
Back
Top Bottom