Raza: Magufuli apewe uenyekiti CCM

Raza: Magufuli apewe uenyekiti CCM

Nadhani baadhi ya watu common sense inawashinda. Unapoandika habari namna hiyo, Kada- hata bila kumtaja, unataka ueleweke vipi? Unakimbilia nini? Andika kitu kinachojikimu chenyewe. Wengine husoma tu thread bila ya mapokezi mengine.
 
Huyo sio kada kada gani hajui kanuni za chama chake

Kanuni inasema kila raisi atakaeingia madarakani atamuachia mwenzake alietoka uenyekiti ndani ya miaka 2 halafu atachukua mwenzake aliepo madarakani labda wavunje kanuni na wavunje kwa maslahi ya nani awake wazi huyo kada
 
Dah kati ya jambo ninalolisubiri kwa hamu ni kuona jki akimpisha jpm uenyekiti wa chama
 
Kwani mmesikia jk hataki kuachia uenyekiti? Chama kinautaratibu wake?kwa mujibu wa katiba jk ni mwenyekiti hadi 2017, tuwaulize chagadema mbowe ataachia lini uenyekiti
 
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..

Kwanini hakukabidhiwa kabla hajawa rais
 
Na Wewe Umeelewa Jibu Alilotoa??
Katoa Jibu Kauliza Swali,jk Anamaliza Muda Wake 2017,je,mbowe Anamaliza Muda Wake Lini Au Katiba Ya Chadema Inasema Nini Juu Ya Ukomo Wa Mwenyekiti?
Hivi uzi unamhusu Mbowe kumbe? Kweli walimu wenu walikuwa na kazi aisee.
 
Waliokuwa hawamjui Raza, hakuna mtu kigeugeu na mnafiki kama huyu mtu. Hata wachukuzi bandarini, masikini ndugu zetu, akiwa na kazi zake wanahiari wasifanye kazi kuliko kumfanyia kazi huyu mtu. Muulizeni matamko yake ya Zanzibar huru yameishia wapi?

atakua anatumika na time ya bwanamkubwa huyo. magufur akatea mtego huo, na kama anajiamini kwasababu wanamsifia sio mbaya.lakini mm nashuuli magufuri atoe neno awaambieu wasubili uxhaguzi ufike.
 
JK amwachie JPM uenyekiti ili asafishe kote kote..
Maana nako kwenye CCM kuna majipu kibao.

anaeweza kusafisha chama ni mwanasiasa, magufuri keshawaambia yeye sio mwanasiasa.usifikiri kusafisha chama lahisi.
 
Huyo Raza na nini ndani ya ccm? Katiba ya ccm inasema magufuli apewe uenyekiti hata kabla muda Wa Mwenyekiti aliopo madarakani kwisha? Raza acha uchochezi
 
Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu ukitishia nafasi yake utaitwa msaliti.
kama unabisha muulize zito na ujifunze kwa habari ya chacha wangwe.

Watu hamna akili timam hivi Leo zito angekuwa mwenyekit walahi chadema ingekuwa na wabunge 5 tu
 
JPM hahitaji kuwa mwenyekiti wa chama. Aendelee kwua rais tu, awaachie lichama lao liwaozee wao wenyewe.
 
Chama bora lazima kiwe na misingi na kanuni,kupokezana uongozi ni moja ya kanuni isiyopaswa kuchezewa kabisa.Angalia kinachoendelea kutokea Burundi.CDM kanuni hii ya kupokezana kijiti imekuwa jinamizi.Mbowe kang'ang'ana bwana we acha labda abanduliwe na 'winchi'
 
Chama bora lazima kiwe na misingi na kanuni,kupokezana uongozi ni moja ya kanuni isiyopaswa kuchezewa kabisa.Angalia kinachoendelea kutokea Burundi.CDM kanuni hii ya kupokezana kijiti imekuwa jinamizi.Mbowe kang'ang'ana bwana we acha labda abanduliwe na 'winchi'
 
Ili awe huru kusafisha mchwa,kunguni na mende wote ndani na nje ya chama..Vema akawa na malungu yote mawili ili awe huru kushughulikia kwa uhuru na weredi
 
Kwani Wewe Katiba Ya Ccm Unaijua?Kikwete Anamaliza Muda Wake 2017,unaposema Anautaka Wakati Muda Wake Wakumaliza Bado Unashangaza!
Ndio maana ameambiwa amuachie. Kama ni 2017 huko sio kumuachia bali kulazimika kuondoka
 
Back
Top Bottom