Raza: Kama fisadi ni fisadi, huo si ubaguzi wa rangi


- Saafi sana, tupo pamoja sana hapa!

FMEs!
 
Bravo Raza, umethubutu mzee wangu, kumkoma nyani, hukuchelea kumuita spade kwa jina lake badala ya kumbabatiza kijiko kikubwa!

Yes, you did it! FISADI ni FISADI awe mwekundu blue ama zambarau!
 
- Hamna three ways about it Either uko na Mengi/Wananchi/Raza au Makamba/Rostam/Lowassa, hakuna middle ground wala neutrality!

- Uko wapi mkuu?

Respect.

FMEs!

Nipo TANZANIA kaka....

Neither with MENGI/KILANGO/RAZA and company NOR with MAKAMBA/ROSTAM/LOWASSA and the gang

omarilyas
 
Mimi nadhani wanacho kosa ni courage. Hawa wana CCM wengine wakina SS et al wanaogopa kwenda hadharani kuwasema mafisadi kwani wana ogopa urefu wa fimbo zao. Ndiyo maana iki bidi wana jidai kutetea. Naona ni wanafiki tu.
 
Why all over sudden Raza kaanza kupiga kelele??

CCM wamemwekea kauzibe anakopata misamaha ya kodi nini??
Na kwa nini Mfanyabiashara uwe unalia lia usamehewe kodi.. Kitu ambacho kinahitajika kuinua hali za maisha za watu kule vijijini, nasikia hata dini yetu (Islam)kamwe haikusamehe usitoe Zakaat- kwa vile hicho kitu kinahitajika sana kukidhi haja ya wale walio maskini. sasa kama unafanya biashara kwa nini usiimudu kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…