Rayvany aachia kitu kipya chuma ulete

Naona siku hizi hawa jamaa hawatoi nyimbo za kushtua
 
Mpya kwako.... Wimbo una miezi kadhaa..
 
Juzi ulikunja ndita, wataka mchele tani sita

Mama mbona wanitisha, kwani unafuturisha?
 
Tani sita ni magunia sitini ndugu yangu,au ulitaka aseme mchele kilo moja...?

Yawezekana kakuxhanganya kwakusema TANI,unadhani ni semitreila 6 zilizojaa,angesema gunia sitini wala usingeshangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamuelewa Daud Mchambuzi... Alichoshangaa yeye kiuhalisia mwanamke anaweza taka hizo gunia sitini ambazo ni sawa na tani 6? Au anataka afunguwe biashara ya kuuza mchele labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tani sita ni magunia sitini ndugu yangu,au ulitaka aseme mchele kilo moja...?

Yawezekana kakuxhanganya kwakusema TANI,unadhani ni semitreila 6 zilizojaa,angesema gunia sitini wala usingeshangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata zingekuwa gunia 25 kwani alitaka kuanza biashara ya mchele
 
Ingawa anasemwa kuwa na kipaji kikubwa nyimbo zake haziakisi sifa hzo,nafikiri tayar harmonize alishathibitisha ni bora Zaid yake Bila ubishi tena
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…