Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,341
Huwezi kufanya vitu vyote vizuriNani kakwambia anahitaji mashabiki wa aina yako?? Unaeza imba nae nyegezi adi mwisho
Ndio. Ni uzee wako.Labda ni uzee, ila kwangu huyu dogo huwa anaimba vitu vile vile vya ovyo tu kila siku, kinachobadilika ni midundo tu. Muziki unachezeka, ila anachozungumza huwa hakina maana.
Kung'uta hilo vumbi kichwani.Kupiga selfie na Tiffa...
Ndo mistari yenyewe ya maana?
Kijana flani hivi...Rayvany ndiyo nani?
Mwaka huu ndiyo anafanya vizuri sana hasa kwenye upande wa lyrics na melodies.mwaka jana rayvany alifanya vizuri kimuziki bt mwaka huu naona anaruka ruka tu
OK ndiyo mara ya kwanza namuona huyu msichana amependeza na msuko wake.Kijana flani hivi... View attachment 1886840
kabinti flani hivi.OK ndiyo mara ya kwanza namuona huyu msichana amependeza na msuko wake.
Naona Kwa sasa huyu kijana balaa hizi nyimbo kama ana andika mwenyewe pia ni hatari sana!!..Mwaka huu ndiyo anafanya vizuri sana hasa kwenye upande wa lyrics na melodies.
Alikua amejificha wapi naona kila nyimbo nikisikiliza nzuri au Mimi ndio sijui nyimbo nzuri!!!Eeeh vanyboy
Umenyanyua mikono umenyoa nywele za kwapa?Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini.
Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh huyu kijana ni mtu mwengine jamani tuseme tu kijana anaweza
Hivi WCB nzima kuna mtu ana mistari mizuri na yenye kuita kumshinda Vannyboy kweli? Wakati mwengine kila mtu ana matatizo yake lakini Kwa kipaji hiki Tanzania tunachakujivunia sana
Nimeona kuna watu wanajaribu kumshindanisha na wanamziki wengine wenye Kariba yake lakini nawaomba msikilize mziki wake vizuri alafu mje tena
Rayvanny nimeamua kuwa shabiki yako rasmi kuanzia leo