Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

Fanya fasta bc mkuu
Video ya huyu mtu au
IMG-20220129-WA0002.jpg
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Polee sana.
 
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.

Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.

Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Anapewa hela na passion java,mzimbabwe
 
Shida ulisaidia ukataka kulipwa FADHLA
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke ni kiumbe kisicho na akili na shukrani.

Tabia mbaya za wanawake zinayonikera ni dharau (ukionyesha kumjali na kumpenda), na kutoonyesha ushirikiano.

Shukrani inatakiwa itolewe mara ngapi 😅😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom