" Muda si Mrefu @rayvanny anenda kuanzisha Lebo yake . Studio yake ndio itakua Studio Kubwa zaidi hapa Tanzania ..
Hakuna anaezuiwa kuanzisha Lebo ndani ya @Wcbwasafi_ , hata Drake ana Lebo yake Lakini yupo Cash Money " -
diamondplatnumz
#TheSwitch
View attachment 1613779
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app