Rayvanny angalia muziki wako usife maskini. Mwenzako Harmonize ana lebo tayari

Tuweke hesabu Sawa , harmonize huwez mfananisha na Rayvanny , Kondeboy ni fighter , ashampiga gap kubwa Sana Rayvanny huo ndo ukweli , Rayvanny amelala lala Sana , kupenda mademu kupitiliza na kusahau kazi , Rayvanny anabebwa na label ya WCB anategemea mbeleko za Diamond ambaye ndo chanzo cha nguvu Kwa wasanii waliopo na waliotokea WCB but Leo hii likitokea la kutokea Mwenyezi Mungu akamchukua Diamond ndo utajua Rayvanny ni boya... Badala atumie nguvu ya mond kujitengenezea empire anabaki kubweteka na madanga ya mjini ....

Kipind cha msuguano Kati yake na Harmonize Kwenye issue ya Paula ndo ilikuwa golden chance ya yeye kutembea sambamba na Harmonize , na hata Mond alilijua Hilo ndo mana alikuwa kimya kabisa ili kumpa mileage mshikaji , mana vyombo vyote vya habar viliwamulika watu wawili vanny boy Vs Harmonize...!! Cha ajabu jamaa likaaa kimya badala ya kutembea na hyo Kiki likalala kabisa kazi kupiga picha kwenye label yake, kujilamba midomo as nothing new ,mziki hautak ulale lazima uamshe , angetumia hyo chance kuinua next level na kutoa msanii juu Kwa kutoa Ngoma Kali , angeweza kuyumbisha upepo wa Konde gang , ukimya wake ulimpa nguvu konde boy kujijenga na kujipanga kuattack WCB, japo still he is too far to match lakini matokeo yake utayaona soon believe me .... !! Rayvanny hawezi kumkimbiza Harmonize now, too late na mwenzake kajijengea ngome , Leo hii konde boy akifanya chochote kundi kubwa linammulika Kwa nguvu zote na kumpa mileage , alichobakiza Kondeboy sa hv ni kutoa hitsong na kusubir mda umpe majibu mwanana ....!!

Rayvanny anajidanganya Tu kudai et anapendwa akitoa wimbo unatembea , akiendelea na huu msimamo wake yatamkuta ya Alli Kiba ,.... Hana power yyte nje ya WCB na pia WCB now Wana mengi ya kufanya hawawezi kumpigania yeye tuuu ....!! Endorsement Hana , show zenyewe anapata moja moja , label haina msanii yyte inaendelea Kula Tu fixed cost,...
Ni kweli sportfy anaongoza monthly streams akiwa nyuma ya Diamond na akiwa amempiga Kondeboy gap la Stream 100000 per month , swali linakuja yeye vannyboy anachukua ngap na konde boy anachukua ngapi??? Ndo hapo tunasema Kondeboy anapata kikubwa kuliko vanny boy japo Rayvanny number zake zpo juu kidogo..!! Tuchukulie Mimi hapa napata 8 lakini nagawana na watu kama watatu hvi , na mwenzagu anapata 6 lakini anachukua yote hyo sita , ni Nani anapata kikubwa ??

View attachment 1866880

View attachment 1866881
View attachment 1866882
Naona una-assume upande wa WCB, haya wa Konde kama Jembe pamoja na Mjerumani wakiwa na hisa kubwa kuliko Konde, manake umeassume mtu anapata kubwa kwa idadi ya watu, haya turudi kwenye asilimia ya Konde unajua wanagawana ngapi Konde, Jembe ni Jembe na Mjerumani.

Halafu kaa ukijua Jembe ni Jembe sio fala mtoto wa mjini plus ana PhD, we jidanganye HATUOMBEI ITOKEE ila siku ikitokea wamekosana kibiashara unaweza ukakuta anachopata Vanny kikubwa kuliko Konde,sema Vanny tokea zamani hanaga tabia ya kuanika anavyo miliki.
 
why mbeleko ya mondi imeshindwa kuwabeba lava lava & qeen darlin?
 
Yani unataka kuaminisha watu kuwa kila kinachoingia kondegang harmonize anachukua chore? Aiseeeh😂😂😂😂😂. Kwamba jembe ni jembe na mjerumani wapo pale kama maboya?

Hata Mond pale WCB hachukui chote.
 
Naona una-assume upande wa WCB, haya wa Konde kama Jembe pamoja na Mjerumani wakiwa na hisa kubwa kuliko Konde, manake umeassume mtu anapata kubwa kwa idadi ya watu, haya turudi kwenye asilimia ya Konde unajua wanagawana ngapi Konde, Jembe ni Jembe na Mjerumani.

Halafu kaa ukijua Jembe ni Jembe sio fala mtoto wa mjini plus ana PhD, we jidanganye HATUOMBEI ITOKEE ila siku ikitokea wamekosana kibiashara unaweza ukakuta anachopata Vanny kikubwa kuliko Konde,sema Vanny tokea zamani hanaga tabia ya kuanika anavyo miliki.
Hata kama jembe amewekeza ukweli upo pale pale harmonize ana mamlaka makubwa na anachokipata ni kingi kuliko anachokipata Rayvanny , fikria diamond ale , babu Tale ale , Sallam naye ale , alaf kuna fungu la maendeleo ya label , bado managers wako wale pia ukiachana na manager wa label , hujakatwa VAT, ndo upate cha kwako , ....!!!

Rayvanny ni msanii mkubwa Sana mwenye kipaji kikali , hatumuombei mabaya Ila tunajarbu kumstua na kumpa warning indicator ushindani sa hv ni mkubwa na Diamond hataweza kuendelea kuwa na ushawishi mkubwa kama miaka mitano iliyopita , hvyo ajijenge kutengeneza team work yenye nguvu , ikibidi pora accnt zenye nguvu , ukiunganisha na accnt za WCB huku na wewe unapiga kazi na wasanii wako wakaleta amsha amsha ndo utaweza kusikika lakini hii kulala lala tuu na kila sku picha na Paula , hamna kitu boss ....!!! Mfano juzi kawaambia watu comment 10000 zikifika naachia goma , zimefika comment anaanza kupost ujinga ujinga mara picha na Paula hamna kitu kinachoendelea , yaan hyo ni poor strategy Sana na unaloose bila kujua , haupo serious..! Label haieleweki ipo ipo tuu , ina msanii mmoja ambaye ni mmiliki , unazindua label Kwa nguvu zote haina hata msanii 😀

Rayvanny ana nguzo moja Tu yenye nguvu nayo ni WCB na hii ni too-risk Sana kutegemea nguzo moja ...!!wanasema usiweke mayai yote kwenye kapu moja...!!
 
Hata kama jembe amewekeza ukweli upo pale pale harmonize ana mamlaka makubwa na anachokipata ni kingi kuliko anachokipata Rayvanny , fikria diamond ale , babu Tale ale , Sallam naye ale , alaf kuna fungu la maendeleo ya label , bado managers wako wale pia ukiachana na manager wa label , hujakatwa VAT, ndo upate cha kwako , ....!!!
Mamlaka unayapima kwa nini?Nimekuuliza Jembe, Mjerumani percent zao ni ngapi kwenye records label hujanijibu, halafu hawa biashara yao inaanza ,bado changa nazani unaona Konde ktk miaka miwili anavyo struggle kupata shows, streams sio kivile, kazindua album mlimani city,katoa video alizoshoot na watu mbali mbali na bado kila siku anaachia projects mpya, hapo bado kuna madogo wa Konde ambao hawaeleweki na hawajasimama watoka kila siku na wanaachia nyimbo mfululizo tena nyingine na wasanii wa nje, hivi ushajiuliza hizi hela anatoa nani na ushajiuliza zitarudi vipi wakati shows na Streams wanachechemea. Hapo bado kuna vitu umeviongelea VAT, maendeleo ya label.

Mondi mkataba wake na akina Sallam, Babutale na Fela ni 30% kwa kila kitakacho patikana ndani ya WCB, alishawahi kutamka hili Mondi,hata Babutale alishawahi kuitaja hii 30% wanayoipata.Halafu nakukumbusha Babutale, Sallam na Fella Diamomd aliwaita kwa ajili ya kummeneji, ila Jembe ni Jembe kwanza kuna hela ya kawekeza na Mjerumani, pili wao ni mameneja.

Kila mmoja ana mahesabu yake Vanny kwake kaona WCB inamlipa mwache abaki, yy kahisi hamlipi nwache aende,kupanga ni kuchagua

Halafu kuna swali kakuuliza mdau hujalijibu 👇👇👇

"why mbeleko ya mondi imeshindwa kuwabeba lava lava & qeen darlin?"

Manake hata Ibraah na Country Boy wame egamia nguzo ya Konde, vp nao waondoke Konde?.
 
Mamlaka unayapima kwa nini?Nimekuuliza Jembe, Mjerumani percent zao ni ngapi kwenye records label hujanijibu, halafu hawa biashara yao inaanza ,bado changa nazani unaona Konde ktk miaka miwili anavyo struggle kupata shows, streams sio kivile, kazindua album mlimani city,katoa
Note: Mimi sio shabiki wa Harmonize hata kidogo , Ila Kwa jinsi mambo yanavyoenda Harmonize ana press had huku Rayvanny anachechemea ( huo ndo ukweli), now back to the topic .....!!!! Mkuu tunazunguka Sana , Harmonize ni mmiliki wa konde gang , na akina ibra ni waajiliwa , diamond ni mmiliki wa WCB na akina Rayvanny ni waajiliwa , tofaut ya Rayvanny na Harmonize tayar ipo hapo ,

.. sidhani hata kama diamond anamiliki share 💯 za music label ya Wasafi, the same to Harmonize na konde gang , Mimi sijui Ila mwenye ushahidi aweke hapa share distribution kwenye hzo label mbili....hii itasaidia kujua Jembe anachota Kias gan , sababu ya kukosekana ushahidi basi Hali Iko hvi Harmonize ni mimiliki wa konde gang na amesaini wasanii kadhaa wote tunawajua...!!

Harmonize anapewa support na media kubwa hapa bongo , na pia amewekeza kwenye powerful IG Accnt za wambea hapa mjini , Rayvanny ana label ambayo haina msanii yyte sjui ndo kajisaini yeye , support aliyo nayo ni kutokana na diamond , mfano IG zote kubwa hapa mjini zilizo upande wa diamond ndo zinambeba Rayvany , ubaya ni kuwa IG hzo zipo sponsored na Diamond , wote akina Baba level, lokole , n.k ni Kwa sababu Diamond anawapa kitu na sio Rayvanny , .... Thus why nikasema leo hii likitokea la kutokea Kwa Diamond , Rayvanny ataweza vip kujisimamia , ataweza kuwalipa hao machawa ??? Kwa nini asijipange sa hv Diamond angali hai na ana nguvu....!! Amebweteka na support inayotolewa na boss wake huku akijifariji kuwa anapendwa ....!!!

Kwa nini tunamzungumzia Harmonize dhidi ya rayvany na sio lavalava au Queen Darling , Harmonize na Rayvanny walisainiwa Kwa mfuatano na wote waling' aa chini ya Diamond ,mwenzake akajikata na kuanzisha label yenye nguvu Kando ya WCB , sasa watu wanampigia jicho Rayvanny sababu kiuwezo , kimafanikio hawatofautiani Sana , japo kweli ameamua kubaki WCB bado anauwezo wa kutengeneza fan base na channel kubwa Zaid akiwa WCB , cha kushangaza hafanyi hvyo , ina maana amebweteka kuwa full under WCB bila kujitanua zaidi kupata matawi ....!!!

Kazi zake zimekuwa average Sana , sababu gani , support anayoitegemea Kwa sasa inahangaika kumbeba boss wake , na hvyo akitoa wimbo hawasumbuki Sana kumpambania sababu kuna pressure ya harmonize na Ali Kiba dhidi ya boss wao , so they choose to fight for diamond instead .....!!!

Qeen darling Hana kipaji , lava lava alikuja too late , diamond kama mwanadamu hawez vusha wasanii wote , ispokuwa msanii akichangamkia fursa anaenda ..!!!
 
Note: Mimi sio shabiki wa Harmonize hata kidogo , Ila Kwa jinsi mambo yanavyoenda Harmonize ana press had huku Rayvanny anachechemea ( huo
Sijakwambia ww shabiki wa nani na hata ukikataa kuna siku jf itakuumbua mwenyewe kupitia comments zako.

Hivi Konde kweli ni label yenye nguvu kweli 😀😀😀😀😀😀😀,hayupo msanii hata mmoja wa Konde anayefikia level ya Queen Darleen acha mahaba au hizo kelele za machawa zinakuvuruga ,unawatoa wasanii bila mpangilio matokeo yake kuwapromoti ameshindwa, ameshindwa kuwapa nafasi na kuwatafutia shows,yy mwenyewe kila siku anatoa nyimbo, wasanii wake wapo wapo kuna siku hawa wasanii watamgeuka tu na utayasikia mengi ya Konde.

Nyimbo za Rayvanny average unapima kwa kitu gani?

Hivi ktk maswala haya hisa hata mwenye 5% anaitwa mmiliki,kweli mmiliki ila hujui ana asilimia ngap zidi ya Jembe na Mjerumani.

Sasa kujitanua mbona tayari ana label ya NLM au ww ulitaka ajitanue vp?

Halafu nilikwambia kila mtu na style yake, kama Harmonize ana chawa, Rayvanny kwake ameona haitaji chawa na mziki wake unasonga sio lazima mfanane.

Halafu ww kumbe unapenda hizi kelele kelele za machawa na wambea wa mjini, mziki upime kwa kusikiliza ww mwenyewe na kwa number unazopata kwenye digital platforms mbalimbali na jifunze kuuacha muda uonge wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hakuna ana Hate mtu ila muwe na kiasi ktk ushabiki
Sishabii msanii yoyote bali napenda kuona trending za kazi zao zinavyokwenda na hata wale wapiga kelele na kujitutumua huwa tunakutana na vitimbwi vyao mitandaoni.
 
Sasa hiyo 215m ni ndogo kwa nyimbo moja?

Hivi wewe unazani huyo Konde anacho kiingiza hakikatwi, Jembe ni Jembe alitoa sehemu ya hela ya faini kuwalipa WCB, husishangae Konde akawa anaibeba brand Jembe akawa ndiye mpango mzima na mjerumani.
Jembe ndiyo kila kitu, Nchumali analipwa tu na anakula percentage za brand name yake kuwa ndiyo inatumika. Some people don't know that shit.
 
Note: Mimi sio shabiki wa Harmonize hata kidogo , Ila Kwa jinsi mambo yanavyoenda Harmonize ana press had huku Rayvanny anachechemea ( huo ndo ukweli), now back to the topic .....!!!! Mkuu tunazunguka Sana , Harmonize ni mmiliki wa konde gang , na akina ibra ni waajiliwa , diamond ni mmiliki wa WCB na akina Rayvanny ni waajiliwa , tofaut ya Rayvanny na Harmonize tayar ipo hapo ,
Hapa kwamba kuna pressure ya Kiba na Konde dhidi ya Diamond ni uongo uliotukuka, pressure ya vichwani mwa fans wakati ki levels(being realistic) ni kama mbingu na ardhi.

Unajaribu kutoa ufafanuzi mwingi lakini uko biased na wishful thinking ndiyo driving force yako.
Smooth ride za Vanny usizichukulie poa japo industry somehow inahitaji makeke lakini yawe na timing, the only thing kinachowasukuma Kiba na Konde ni haters wa Sadala na Vanny anapata support ya fans wa WCB so wote it's like they sailing in the same boat.

Kwa nyimbo ni uhakika nyimbo za Vanny ndiyo zinazopendwa zaidi na ushahidi ni streaming za digital platforms, kwa kuwa yuko kwenye process za kuhama WCB so let's wait and see kwani Sadala anampa support sana kwenye kuhama kwake.
Let's not judge for now.
IMG_20210725_093512.jpg
 
Mi ni shabiki mkubwa wa vannyboy , Ila jamaa daah kama yupo slow Sana, juzi anatwambia comment 10000 na drop Ngoma , cha ajabu comment 10000 zinafika anatuwekea picha ya Paula , Fala kweli..!! Konde boy anaamsha amsha za kibabe this why anaenda , japo hyo konde gang , ni jina lake tuu kuna wazee wameweka mzigo pale , Ila konde boy ana amsha amsha aisee...!! Rayvanny Ana kipaji kikubwa Sana Ila hayupo kikazi aisee !!!
Kale kitimoto utanidai usilipe
Screenshot_20210718-210408.jpg
 
HARMONIZE aningizaje hela kwenye label yake maana ni mwaka sasa wasanii wake hawafanyi show yyt hamna endorsement hiyo hela inaludi vipi
Kajifunze kuandika kiswahili,..kwa Nini machawa wengi wa Domo mbumbumbu😁😁😁😁
 
Manyimbo ya Bongo mnayapendea nini? Biti za hovyo;

Sikilizeni hii ngoma ya Nasty C - Jack

Ndio mtjaua kuna wasanii na Vijisanii!....
Oya mkuu uyo kiumbe nashangaa sijuh kwnn watu hawamuongelei ni hatari sana yaan apo co casper sio AKA wote wanasanda kwa dogo nasty c.

Nina ngoma zake kama 30 hv.
 
Salam alipotosha somewhere. Spotify wanalipa between $0.0038 na 0.005, hivyo haiwezekani streams milioni moja mtu apate $10,000. Na hiyo ni rate ya wasanii wote haijalishi wanatoka nchi gani. Kuna watakaopata 0.005 per stream kuna wengine wanapata less kutokana na criteria flani.
Kama ni TZS 230 milion atakuwa sawa kabisa kwa hiyo hesabu. Na bado ni pesa ndefu tu kwa wimbo mmoja.
Vanny ni mtu mmoja namuona siyo mtu wa makiki kihivyo. Ila Kapaula kataliwa kazalishwe baada ya miaka minne kapigwe chini. Vanny bado mdogo na ustar alionao hawezi kuoa sasa na warembo wengi wanajileta wakiwa kwenye silver plata, ni yeye kuamua awe na nani.
silver plata umenkumbsha alisema king julien kwnye animation ya madagascar2 "bring me my nuts on silver plata"
 
Kwanza mnamdhalilisha Sana kumlinganisha mnyama Kondeboy na huyo tipwa tipwa mrembuaji, Kondeboy ni mbabe na mpambanaji , hlo Bana pua Lina kipaji na lingeweza Sana kumnyanyua Diamond , Ila lipo lipo Tu kama yai na label yake ya kupigia picha na kufanyia uzinzi .....

Ukiachana na Diamond pale WCB wapambanaji waliobaki ambao wapo serious na kazi hata ukifatilia Instagram accnt zao ni Mbosso pamoja na Zuchu , hao ndo future ya Domo wakat huu akielekea kwenye diminishing returns
 
Huyo jamaa ni Bwabwa , Kwanza mnamdhalilisha Sana kumlinganisha mnyama Kondeboy na huyo tipwa tipwa mrembuaji, Kondeboy ni mbabe na mpambanaji , hlo Bana pua Lina kipaji na lingeweza Sana kumnyanyua Diamond , Ila lipo lipo Tu kama yai na label yake ya kupigia picha na kufanyia uzinzi .....

Ukiachana na Diamond pale WCB wapambanaji waliobaki ambao wapo serious na kazi hata ukifatilia Instagram accnt zao ni Mbosso pamoja na Zuchu , hao ndo future ya Domo wakat huu akielekea kwenye diminishing returns
Number zidi ya maneno.
Screenshot_20210727-170501_Instagram.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom