kaka unaakili fupi kweli yani kila siku we na udini tuUongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya
Alikuwa anataka kufanya hivo kama sadaka yake hasa baada ya kuona mondi pia anajenga mtwara
Sallam na tale wanasema atagawa mashabiki kujenga kanisa najaribu ku attach audio za mazungumzo zinagoma kama kuna mtu anaweza anipe namba yake nimtumie
shogaake huyooUongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya
Alikuwa anataka kufanya hivo kama sadaka yake hasa baada ya kuona mondi pia anajenga mtwara
Sallam na tale wanasema atagawa mashabiki kujenga kanisa najaribu ku attach audio za mazungumzo zinagoma kama kuna mtu anaweza anipe namba yake nimtumie
Eti namba!! una akili wewe? unafikiri utampata mtu humu kibwege? wewe kuna mtu unamtafuta sema umegundua anapenda umbea sasa unataka kujidai una umbea mbea ili upate namba yake, Jamani kuweni makini mnapotoa namba zenu, Kama unajiamini weka namba yako hapo ili mtu akutafute bila kujua ID yake.Uongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya
Alikuwa anataka kufanya hivo kama sadaka yake hasa baada ya kuona mondi pia anajenga mtwara
Sallam na tale wanasema atagawa mashabiki kujenga kanisa najaribu ku attach audio za mazungumzo zinagoma kama kuna mtu anaweza anipe namba yake nimtumie
Numby mbona mond kaenda kujenga mtwara badala ya kuchangia tandale alikosomea madrasa? Kwan mond kujenga huo msikiti anataka kuswalisha?Mmmh mkuu mbona kama una ajenda binafsi na WCB khaa too much
Ray akachangie kanisani kwao alipobatizwa,komunika na kadhalika na si kujenga jpya kwan ana upako wa kuliongoza hilo kanisa?
UDINISABABU YA KUKATAZWA NI IPI?
Mpe namba mkuu akudake..tuma apa ili tuamini
hawa wcb hawako fair kabisa i believe muda utaongea tu. katoka kifesi na mavoko kwa upuuzi huu huu wa kidini ila watu bado hawaaminimisikiti sawa??