GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 350
- 569
Raymond ni msanii mpya wa Wasafi. Ameachia wimbo unaitwa Uku Kwetu.
Sio rahisi kupima uwezo msanii kwa wimbo mmoja. Ila kwa huyu mchizi kuna kitu nimeona anacho kikubwa sana.
Ana kitu muhimu sana kwenye muziki nacho ni star look na zile star qualities.
Ana uwezo mkubwa wa kuimba. Ana uwezo wa kurap na kufree style. Ana uwezo wa kupiga vyombo vya muziki.
Ama kwa hakika hapa WCB walilamba dume. Huyu kijana ni hodari kweli kweli. Namuona mbali kama wakimbrand vizuri yule mwingine sikumkubali kiivyo naona kama wale vijana wa Fella then akamix na udaimond. .
"Sifa kwa wangu maulana, kwa mengi aliyofanya, hadi mi nawe kukutana kisura"