Ray taratibu tafadhali

Ray is insane and greedy person. RIP our beloved Kanumba.
 
He is not serious , ktk maactor wasio jua yeye anaongoza maana anaongea kama anasoma.

Hamfikii FRANK HATA ROBO
 
Reactions: Sal
Huyu jamaa kichwa kimeanza kuwa kikubwa na dharau zitazidi.
 
Nyerere ni Nyerere,
Kanumba ni Kanumba
Ray mmmh.
 

OFCOURSE NOT! Saul kauwa elf zake lakini Daudi kauwa elf kumi zake!
 
kikubwa ni kuwa Nyerere na Kanumba lao moja........................wote sasa ni chakula ya funza.............mengineyo wasionielewa watajaza................
 
Anatakiwa afanye hesabu hizi,ni watu wangapi wamefariki baada ya 1999 alipokufa baba wa taifa,i mean watu hao wote walihudhuria kumuaga baba wa taifa,pamoja na wale waliohudhuria kwenye maziko ya kanumba wengi wao kama si wote walikuwepo kwenye msiba wa baba wa taifa,alafu akumbuke pia na huyo marehemu mwenyewe Kanumba alikuwepo kwenye msiba wa baba wa taifa,hapo ndio atagundui lipi tui na yapi maziwa!!!
 
Kengele zake, anafananisha umati wa mazishi ya Mwl na ule wa muasherati Kanumba, kwanza wakti mwl anafariki yy Ray alikuwa mdogo sana na hana kitu alikuwa anaelewa, km mwl angezikwa dar ingekuwa blaa kubwa na sijui hao watu wangukaa wapi, aache ujinga huo.
 
Jamani ebu acheni utani haya maneno Ray katamka kweli siamini hata kidogo Ray hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho.
 
Ray inabidi abadilike sana,kunishawishi nizipende kazi zake! kutokujua kuongea hiyo ni kitambo ata ukiangalia filamu zake.
 
Huyu jamaa ni kiazi kabisa,kwanza hapo amefurahi sana SK kufa, kwa akiri yake ilivyo fupi anajua soko lake litakuwa kubwa na atauza sana filamu zake, Ngoja aone matokeo yake sasa Pambafff sana.
 
kufa kufaana anachukulia urahisi kwa kujitangaza kirahisi
 
msamehe ndo uwezo wake wa kufanya ulinganifu ulipofikia!nyerere aligwa for days!
Afterall ni msanii usikute hakuwa serious!

msameheni wengi wetu nyerere alipokufa hatukuwepo dar es salaam wakuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…