Ray kama ni wewe au Kanumba(RIP)

Ray kama ni wewe au Kanumba(RIP)

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,122
Reaction score
912
Wakuu naomba samahani kama uzi huu ushapita hapa jamvini.Ni kuhusu maudhui ya filamu zao mbili ambazo naweza kuziita PACHA,yaani imekera ni baina ya filamu ya NDOA YANGU na filamu ya WOMAN OF PRINCIPLES.Yaani ni ku-copy na ku-paste.Ray kama ni wewe ume paste, umeonesha kama unamuenzi the great.Zinaboa hamna tofauti.
 
Hujazungumzia yale matusi yaliyojazwa katika filamu zao, unaweza mambo ya kuombana unyumba na kupiga punyeto katika filamu za Kitanzania? Nasikitika Kanumba ameshusha sana ile heshima yake aliyoipata baada ya kufa.
 
Bongo movies bado zna safari ndefu sana kwa hali hii..
 
du nyie muda wa kutosha mpaka kuangalia Bongo movie, yafuteni Transporter, Italian Job Colombiana Girl, ALady with a dragon Tattoo
 
du nyie muda wa kutosha mpaka kuangalia Bongo movie, yafuteni Transporter, Italian Job Colombiana Girl, ALady with a dragon Tattoo

Hata Dark Knight (2012).....! Inaweza kukuondelea maudhi ya filamu za kibongo.
 
Back
Top Bottom