tikitaka men
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 216
- 58
Tafuta mume uolewe dada umri unakwenda huo na usirudie uteja.
Ubatizo wa maji mengi kabla ya kuokoka?
Mark 16:16a "whoever believes and is baptized will be saved"
Acts 10:47 "can anyone WITHHOLD water for baptizing these people, who have received the Holy Spirit just as we have?
Moja kati ya yafuatayo yaweza husika:
-kanisa halikuelewa anachokiongea/alidanganya/badilisha
-kanisa hilo sio kama mengine yenye imani hiyo
tragedy of the commons
Nimekupenda bure,japo watu wanatafsiri kuokoka ni kuhama kutoka dhehebu moja kuhamia lingine...na wananikera sana hawa watuSimple definition:
Kuokoka ni kuacha dhambi, kuacha kumtumikia shetani na kufuata amri za Mungu.
Mmmh! Hivi yule babu wa BOT alimuacha huyu binti kweli?!