Ray C Alipotushukuru Ikulu

Jana hii ilizua mjadala mkali sana "mezani" kwetu......watu wanadai Rais kafanya la maana sana katika hili.....mimi sikuchangia mjadala ule
 
Naungana na wote wanaounga mkono juhudi za mkuu wa kaya za kutoa msaada kwa watanzania wenye shida kama alizokuwa nazo mwenzetu. Napenda kumshukuru sana Mkuu wa kaya kwa moyo wake wa upendo kwa watu wake, Vile vile napenda kumshukuru mgonjwa ambaye baada ya kupata msaada, amekumbuka kurudi kuonesha shukrani zake kwa aliyetoa msaada, Nalaani wote wanao ona kitendo cha kutoa msaada, kama nia mbaya.
 
Kuna wagonjwa wa kweli hapa Tanzania na diyo TEJA.

RAY C she is grown A$$ woman and she should know wha's good and what's bad.

Anyway, kwa nchi ya Wasanii, kusaidiana wenyewe kwa wenyewe si dhambi. Acha wafaidi maana sasa ni muda wao.
 
bora sura ya mwaikibaki 100 times!! matunda yameonekana. kuliko huyu HB wetu, lakini matatizo na vituko kila kukicha! UMASIKINI WA NCHI UMEONGEZEKA KWA 100% tangu kuingia kwake madarakani.
 

Humshukru wewe peke yako, maana kama anajua chanzo na hazibiti chochote nguvu za vijana zinapotea. vipi ROD-macho kaenda naye?
 
bora sura ya mwaikibaki 100 times!! matunda yameonekana. kuliko huyu HB wetu, lakini matatizo na vituko kila kukicha! UMASIKINI WA NCHI UMEONGEZEKA KWA 100% tangu kuingia kwake madarakani.

Ikulu bado ni mahala "patakatifu" kweli?
 
Jana hii ilizua mjadala mkali sana "mezani" kwetu......watu wanadai Rais kafanya la maana sana katika hili.....mimi sikuchangia mjadala ule
kama kwenye meza yenu hukuchangia kitu, changia hapa basi.
 
Anashindwa kumsaidia mtu kama Sajuki anaenda huyo mbwia unga!!
 
me sikushangaa,ikulu ya tanzani si imekuwa jumba la sanaa tooka aingie jk?jiiulizenii tu,wenye matattizo sugu na wamekosa msaada kiasi wameshaaga dunia ni wangap?waliougua tena kwa kujitakia ndo ikulu inawahudumia tena kwa kuchagua mwenye sura nzuri
 
mimi kwa maoni yangu mkuu wa kaya kafanya makubwa sana na anastahili kusaidia watu wake kama ray c na wengine mi xawashangaa mnaombeza mkuu wa kaya kwamba asimsaidie mtu wake afe na wakati ana uwezo wa kumsaidia
 
Jana hii ilizua mjadala mkali sana "mezani" kwetu......watu wanadai Rais kafanya la maana sana katika hili.....mimi sikuchangia mjadala ule

sajuki na vengu watasubiri aje rais wengine!
maana hawana jinsia kama huyu mwengine!
ila tuombe wapone kama wagonjwa wengine!
ata wakifa tutapata wasanii kama hawa wengine
safari_ni_safari akiumwa hatakuwa kama wengine
maana ataakifa hazikwa kama kanumba mwingine
source:kala jeremiah "dear GOD" (2012)
 
Sajuki, Vengu hawakuonwa, Vengu mpaka leo mahututi anatibiwa hospital uchwara.. Kiranja mkuu mpeleke na huyu appollo as ni Mtanzania mwenzio.. Huyo wa madawa kajitakia..

Nikiendelea kusema nitakula Ban
 
Jana hii ilizua mjadala mkali sana "mezani" kwetu......watu wanadai Rais kafanya la maana sana katika hili.....mimi sikuchangia mjadala ule

issue sio uraibu, issue ni chanzo cha uraibu.

Miaka yote hii takribani minane Mh Kikwete amefanya nini kudhibiti vyanzo? Mbona usanii hata kwenye mambo yasiyo ya muhimu?

Anyway, upuuzi huu utapita tu.

Vema Ray C amepata nafuu kama hivyo, ila najiuliza kwa nini hamtaji Betty Charles Boniface Mkwasa kuwa naye kahusika?
 
Mimi nilitegemea Ray C sasa hivi angekuwa amekamatwa na polisi, tena angekamatiwa huko huko Ikulu. Hivi ukikiri kuwa wewe ni mtumiaji wa bangi mbele ya rais utaachiwa hivi hivi?
 
mimi kwa maoni yangu mkuu wa kaya kafanya makubwa sana na anastahili kusaidia watu wake kama ray c na wengine mi xawashangaa mnaombeza mkuu wa kaya kwamba asimsaidie mtu wake afe na wakati ana uwezo wa kumsaidia

ndugu zetu wangapi wanakufa muhimbili kwa kukosa huduma za kawaida tu kwa sababu ya rushwa na kukosekana kwa vifaa na huduma mahospitalini..mbona hawasaidii wao....aishie zake
 
Mimi nilitegemea Ray C sasa hivi angekuwa amekamatwa na polisi, tena angekamatiwa huko huko Ikulu. Hivi ukikiri kuwa wewe ni mtumiaji wa bangi mbele ya rais utaachiwa hivi hivi?

Labda Ray C kampa list ya ma-pusher wote waliokuwa wanamletea mzigo wa unga halafu mkulu akawapigia na kuwaambia waache wenyewe kuuza unga la sivyo wataburuzwa mahakamani na kuchukuliwa hatua kali.
 
rais imara angepambana na mfumo ulisababisha hicho kibint kiwe kiteja,
ila rais we2 anaujua huo mtandao lkn sijui ni muoga au muungwana.
TUNAHITAJI MKONO WA MUNGU KUVUKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…