Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Nani amtake teja huyo

Teja, wamemaliza kila kitu hadi kule kwenye kampuni la simu, halafu achague mwanaume kwa rundo la masharti ya wakoloni. Yeye, Ray C bwana, mwanaume mtwana! Ama kweli bongo ni sehemu salama ya komedi.

Eti akikasirika abembelezwe! Akiwa na hasira atoe ngurumo ya radi mwanaume unywee! Ukariri na kuimba nyimbo zake mbele yake, asikilize, afurahi mithiri ya malkia! Umpende na huo ubonge wa unga na asifanye mazoezi kwa kuwa uteja ndiyo mpango....! Duh, hakyanani hiyo familia anayoitamani sipati picha.

Kwa hiyo anaoa yeye!!!!!???
 
Mimi nilitaka kujua kama ray c bangi na heroin imeisha kichwani lakini nimegundua bado haijaisha.. Sharti namba kumi huwezi kuliandika kama huvuti bangi au kutumia madawa ya kulevya.

Namba kumi ni ishara kua bado hajapona vizuri madawa ya kulevya.
 
Majuto mjukuu. Mtajirudi wengi, Yetu macho.

Hamna kitu hapo, Scraper limepakwa rangi. Tehe
 
Mimi nimekubali masharti yake yote...İla na mimi nina masharti yangu mawili tu. Akubali kuwa mke wa pili na akubali kuwa muislamu...
 
Na liwe fundisho kwa madada wengine, kuwa muda ni kitu muhimu sana, anza maisha wakati upo juu, lakini wengi wenu mnaamua kujirusha mpaka mnaanguka. Pole dada Ray endelea kutafuta unaweza kumpata.
 
Back
Top Bottom