Engine hizi zinasumbua kwa mazingira ya kibongo kutokana na uhafiru wa ubora wa mafuta na ujuzi kidogo wa mafundi wetu tulionao. Ukinunua gari yenye engine 1AZ, siku ukitaka kuiuza utapata shida ya kupata mteja. Na hata kama ukimpata utauza kwa hasara.
Hii ni kutokana na uzoefu wangu binafsi.