Habari! naomba wajuzi wa gari hizi mbili wanijuze ipi ni gari imara inayoweza ikadumu muda mrefu, isiyo na gharama kwenye matengenezo, inayoweza kwenda umbali mrefu na kupita hata rough road, tafadhali naombeni mawazo yenu mana nahitaji kuagiza moja kati ya hizi gari afu nisahau kabisa mpk labda baada ya sio chini ya miaka kumi ndo nifikirie kuagiza nyingine