Mkoroshokigoli kuna ile calculator ya TRA inakokotoa vizuri sana hebu njoo kwenye ule uzi wa magari kuna wataalam kule
Isiwe na historia ya ajali, Odometer chini ya 120000 na isiwe ilikwisha funguliwa engine.
JF kiboko, kuna kila aina ya wajasiliamali humu. Mtu anasoma post, anatuma picha ya gari unayotaka. Ukimfata alipo ukakague mzigo, anakuonyesha Vitz anajitetea, ile Kilityme imekwenda sasa hivi, chukua hii vitz nayo ni nzuri tu! Unatamani umpige konzi ya pua ila tunaogopa kupiga pesa zetu wenyewe.
Mjadala naufunga kwani people espicially bongonian, are not yet civilazed though are living in big City.

haswaa, ndo naulizia hizo,ambazo zinaonesha zimetengenezwa 1990s je zinafaa?hasa kwa route za porini kwenye rough roads?Rav ya 2006 sio old model kivile kwa sababu kuna version kama mbili nyuma yake mana kuna old model, kili time, then ndio hizo za 2006 hadi 2010 then new model kabisa ni 2014
Kwa hiyo makadirio hadi unaitia mkononi ni kati ya milioni 25-30
haswaa, ndo naulizia hizo,ambazo zinaonesha zimetengenezwa 1990s je zinafaa?hasa kwa route za porini kwenye rough roads?
Hofu yangu ni miaka,je nikinunua frm Japan gari ya 1990s ambazo ndo hizo Kill time haina tatizo?Hizo ndo zenyewe hadi mlima kilimanjaro zinapanda bila tabu
Hizo ndo zenyewe hadi mlima kilimanjaro zinapanda bila tabu
RAV4 model ya 1999 ni imara sana, upate yenye engen 3s, alafu ivute taili zote 4, ndomana hawa wanaofanya service za minara ya sim huwa wanatumia hizo gari tuAcha urongo, RAV4 haijawahi kuwa gari nzuri kwenye rough roads
RAV4 model ya 1999 ni imara sana, upate yenye engen 3s, alafu ivute taili zote 4, ndomana hawa wanaofanya service za minara ya sim huwa wanatumia hizo gari tu
Matege je?
Aisee ninavyojua magari kama unataka Rav4 J or L kwa mtu old model tafuta 8-9m
Ipo Manual ZNZ haijatembelea, hadi kufika bongo mil 12, full AC, 5 doors kili time. Silver picha zipo.